Kwanini mahusiano yako ya mwisho yalifeli?

Kwanini mahusiano yako ya mwisho yalifeli?

Nilimdanganya kuwa na kazi nzuri kumbe hamna akaja kunigundua kosa lake kuniuliza nikamgeuzia kibao kuwa ananipendea kazi bidada akaona isiwe tabu akasepa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
None of the above.
Nadhani tulifikia mwisho wa kilichokuwa kimetufanya tuwe wote..
Hence tukafanya good separation.
Kwa sasa kila mtu anaishi maisha yake.
 
None of the above.
Nadhani tulifikia mwisho wa kilichokuwa kimetufanya tuwe wote..
Hence tukafanya good separation.
Kwa sasa kila mtu anaishi maisha yake.
Nimependa hapo pa good separation..
 
mm huwa naachaga tu unconditionally!yaan naweza tongoza na akanikubalia ila itategemea siku inayofuata ntaamkaje,maama naweza mpeleka out wala show sipigi ila ndo kwenda kumwacha ivo na wala tukikutana hakuna salam
 
Dah me nimepata mpnz juzi tukameet Jana Leo kanilia wa mbuzi...zile attention zooote kushineh...hakuna ata cha salamu ukisikia wahuni kurap msibani basi ndo huyu najihisi nnamapepo...@mshanajr nisaidie kwann mahusiano yangu hayakai nkipata mwanaume lazima alale mbele huenda nnapepo spiritual husband jaman....[emoji48][emoji48][emoji48]

Hahaa wanaume wanakukaushia baada ya ku-sex na ww gilldenu
 
Back
Top Bottom