Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

kwa jinsi mturuki anavyotumia drone zake kuopiga armenia mwenye vifaru vikuubwa kwa drone napata picha kabisa askar wajao wa ulimwengu huu ni wacheza game za tv.
Dunia haitohitaki jeshi kuubwa sana zaidi ya nishati na hao wacheza tv game.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakuchaguliwa kujiunga na ma
=====
Hayo ni malezi mabaya ya wazazi wala hayahitaji mtu aende depo ndiyo ajue kufagia, kufua kupika. Mimi sikupita depo, ila hizo kazii zote nazielewa bila matatizo na wakati home tulikuwa na mabinti wa kutosha. Lakini still ulikuwa huwezi kula ukaacha sahani au ukaitupa kwenye karo eti mpaka mabinti wakaoshe, unless umekuta kuna vyombo vingine. Nguo za Mzee tulikuwa tunazifua sisi vijana wa kiume.
Mambo mengine ni malezi tu ya familia hayahitaji mtu kwenda depo. Home kwetu kwanza unaanzaje kulala mpaka saa tatu, we hata kufikiria huwezi unless mshua kasafiri.
 
Hayo ni malezi mabaya ya wazazi wala hayahitaji mtu aende depo ndiyo ajue kufagia, kufua kupika. Mimi sikupita depo, ila hizo kazii zote nazielewa bila matatizo na wakati home tulikuwa na mabinti wa kutosha.
Sawa mkuu...
 
Lakini still ulikuwa huwezi kula ukaacha sahani au ukaitupa kwenye karo eti mpaka mabinti wakaoshe, unless umekuta kuna vyombo vingine. Nguo za Mzee tulikuwa tunazifua sisi vijana wa kiume.
Alafu inaonekana mzee wenu alikuwa mtu mmoja "very strict"...
 
Mambo mengine ni malezi tu ya familia hayahitaji mtu kwenda depo. Home kwetu kwanza unaanzaje kulala mpaka saa tatu, we hata kufikiria huwezi unless mshua kasafiri.
Hakika mzee wenu alikuwa ni moja kati ya akina baba bora.
 
kwa jinsi mturuki anavyotumia drone zake kuopiga armenia mwenye vifaru vikuubwa kwa drone napata picha kabisa askar wajao wa ulimwengu huu ni wacheza game za tv.
Inaonekana Uturuki nao wapo mbali kidogo kwa upande wa technology...
 
Dah iyo shughul mi nadhani cha Zaid ni kuwapa techinical education ya kujitegemea sio manguvu man vjan weng wameend jkt lakin amna cha tofaut Zaid ya historia tu
 
Nchii wale wote tuliowahi kusikia ni mafisadi wa hii nchi wote wamepitia jkt.
Mbona hata shetani kabla ya kuasi alikuwa ndiye malaika mkuu huko Mbinguni? Kwani Mungu ndiye aliyemfundisha uasi au ni yeye tu na tamaa zake?

Hata hao baadhi ya mafisadi waliopitia JKT kisha kuziasi itikadi za kizalendo mimi ninawafananisha na shetani tu...
 
Basi hili swala halina umuhimu kama litakuwa ndio chanzo chakuzalisha uasi kama ulivyosema
 
Back
Top Bottom