Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha kisiasa
Hahaha hizi ni kama soccer unashangilia yoyote, ikifungwa unachagua nyingine au unaendelea na team yako.

Hata team yako inaposhinda hufaidi chochote, hivyo take it easy, not personal.

Kwani chaguzi ngapi zimepta mbona tuko humu humu tunapishana tu?!

Enjoy your day.
 
Sasa kama nafasi ni chache za kupeleka vijana JKT kwanini wengine wasicheze mgambo wapate mafunzo ya ukakamavu na uzalendo kuliko kukosa vyote?
Itakuwa kinyume na malengo mgambo na jkt wana
Elimu ya uzalendo na ukakamavu ni malengo yanayofanana kwa wote JKT na Mgambo
Yangekuwa yana fanana kusingekuwepo aja ya mgambo tunge baki na jkt
 
Huku tunasema "kazi kasi zaidi " . Tuache watanzania tupige kazi zaidi kwenye kujitafutia riziki na siokutupotezea muda wote wa miezi 3 kwaajili ya mgambo. Hoja haina mashiko
 
Back
Top Bottom