Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
- Thread starter
- #101
Mpe pole Shemeji aache umalaya wembamba wake na huo urefu asije leta UKIMWI ndani
Shem wako hayupo hlo kundi asee[emoji23][emoji23]
Mpe pole Shemeji aache umalaya wembamba wake na huo urefu asije leta UKIMWI ndani
Wachunguze wale wanaokuzunguka nyumbani Kamai wana sifa hizo. . . .Am back again, leo nipo zangu home tu sijatoka coz shem lenu anaumwa sana na sijatoka kwa heshima yake nipo hapa nampetipeti mama la mama[emoji41]
Bila poteza muda twendeni kwa mada nmefanya researchs nyingi sana kuhusiana na hao viumbe tajwa hapo juu, wengi wao hawajtulia sana. Wanat*bwa sana.
Je hivi kuna logic yyte kuhusiana na sifa za hao wanawake na tabia zao???