kwanini Madem hawapendi ustarabu kwenye six by six

umewaharibu wadada kaka, ndomaana hata wakija huku wanataka kuapply the same!

sasa si wanajiskia utamu??
Na huko kupigwa wanatakaga wenyewe..
Au ile style ya mbuzi kagoma we unaionaje??
Somtimes nawaoana kabisa wanajipga wenyewe kwenye makalio yao,,sasa me sipend kumwona anateseka namimi namwongezea vibao haswaa had aseme yatosha
 
Swadakta kabisa.!! Mkuu...

Mtu anaweka Defence Mechanism mwanzo kabisa, eti "research" then anatupia uzi wake...

Mchezo wa aina hii upo sana siku hizi hapa JF...aibu kwao.!!!
 
Hapa tatizo ni tafsiri ya neno ustaarabu kwenye ku sex!

Kweli kuto mlizisha mwenzio ni ustaarabu?

Na sina uhakika kama unajua tasfiri ya neno fujo kwenye mapenzi!

Utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba madem wengi siku hizi wanapenda sana mnapofanya mapenzi basi lazma yaambatane na fujo nyingi, kama makofi, vidole sana,ndimi kila mahali, mara jaribu na huku, vp ninyonye? N.k kwanini hamjiamini?
 
Hata hili pia katika bold ni fallacy of generalization.
 
mkuu,
kukosolewa ni sehemu ya kuboreshwa. hivyo tulikuwa tunakuboresha.
 
Si uwaelekeze unataka wafanyeje? Huenda wewe unataka watulie tu wewe ndio ujishughulishe, hata wasijitahidi na wao kupata raha. Kazi kweli kweli!
 
Lady gaga ni mwanamuziki.
Lady Jaydee ni muimbaji!
Messi mwanasoka bora.
Ngasa mchezaji.
'thnkn loud..na-pyter tuuu!
 
Utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba madem wengi siku hizi wanapenda sana mnapofanya mapenzi basi lazma yaambatane na fujo nyingi, kama makofi, vidole sana,ndimi kila mahali, mara jaribu na huku, vp ninyonye? N.k kwanini hamjiamini?

hovyoo
 
Mzee nimekuamini maana umeshusha material ya ukweli, unafanya masters au ndo umegraduate??? kweli umemuoutsmart mleta hoja,
 
Utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba madem wengi siku hizi wanapenda sana mnapofanya mapenzi basi lazma yaambatane na fujo nyingi, kama makofi, vidole sana,ndimi kila mahali, mara jaribu na huku, vp ninyonye? N.k kwanini hamjiamini?
Kwa majibu ya "Mademu" wa JF vipi bado unadhani kuwa utafiti wako ni valid? Anyway ngoja tuendelee kuwasoma....
 
mheshimiwa mke wako analijua hili?
 
dah!! huwaga wanapenda sana haswa makofi ya kiuno ya kuwashtukiza ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…