kwanini Madem hawapendi ustarabu kwenye six by six | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini Madem hawapendi ustarabu kwenye six by six

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MPEPE, Oct 31, 2012.

 1. MPEPE

  MPEPE Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Utafiti mdogo nilioufanya ni kwamba madem wengi siku hizi wanapenda sana mnapofanya mapenzi basi lazma yaambatane na fujo nyingi, kama makofi, vidole sana,ndimi kila mahali, mara jaribu na huku, vp ninyonye? N.k kwanini hamjiamini?
   
 2. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,082
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  kama utafiti uliofanya ni mdogo basi pia hao mademu uliokutana nao walikuwa wachache sana kukupa majibu kuwa mademu wa siku hizi wako hivyo. fanya utafiti mkubwa ndio uje na majumuisho hayo.
  halafu inaonesha type ya mademu unaotoka nao ndio wana tabia hizo.
   
 3. m

  masalapa Senior Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Fanya pia na Utafiti mkubwa ndio uje na ripoti kamili. Kumbuka kuwa na vipengele vifuatavyo kwenye ripoti yako:- Introduction, Research Problem/Significance of the Study, Research Questions, Methodology, Data Analysis, Gaps identified for further Researches, Conclusion na References kibao; sio kutuwekea mistari miwili tu na kudai umefanya utafiti!
   
 4. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,082
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  pengine wanafanya hayo kwa sababu ni madem ungekutana na wanawake nafikiri ungeuona ustaarabu.
   
 5. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,082
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  pamoja mkuu,
  kama tuliwaza sawa vile.
   
 6. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,576
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280
  mtoa thread ! umepote njia si mahala pake hapa kuandika habari zako za kizinzi
   
 7. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  Nafikiri MOds hawajaiona hii.

  Hapa siyo mahali pake. Peleka katika Jukwaa la Mapenzi.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 8. MPEPE

  MPEPE Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  watanzania ni ugojwa wetu kutafuta weaknes na kukosoa, hatupo kuboresha na kudumisha. Majibu yenu hayanishitui kwasababu huenda mnataka kuonesha mmeenda darasa lkn darasa lenu ni finyu kwasababu hamjui kunaresearch inaitwa mini research, action research. Mmesamehewa bure kuwafanya wa jf sio critical thinkerz
   
 9. MPEPE

  MPEPE Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  umetawaliwa na siasa pamoja na umbea ndo maana waongea hivyo. Hizo ni tafiti za kisaikolojia ambazo wenzetu huwapa maisha mazuri. Acha ushabiki
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahahahah
   
 11. S

  Sukula JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 1,203
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  madem ndo nini,ufafanuzi tafadhali!
   
 12. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  kazi ipo! i hate rough games! slowly but sweet! haya kazi kwenu watoa machejo!
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,814
  Likes Received: 1,843
  Trophy Points: 280
  mkuu wewe utakuwa ni mtu mwenye bahati sana, maana umeshafanya mapenzi na mademu wa zamani, na sasa hivi umeamua kuwageukia hawa siku hizi baada ya wale wa zamani kuwa vikongwe sio!!
   
 14. charger

  charger JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Weka picha please!
   
 15. moto2012

  moto2012 JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 2,122
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
   
 16. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,872
  Likes Received: 1,747
  Trophy Points: 280


  dah story hizi nazipenda sana
  yani had mate yananitoka kinywani mwangu
  yan nanilihu yangu ishasimama na nataka kutoka ofcn nikapate lunch sijui napitaje pitaje mbele ya wenzangu hapa dah,,aibu tele..
  Kaka hao wa kupenda vurugu na vibao me nawataka sana hao
  na hua nawatandika haswaa,na pipe nawapiga fresh kabisa,,lazma mwsho wa pambano au kati kati aombe maji ya kunywaa..!!
  Wanaume wenzangu tujitahid kuwa...ka..za kisawa sawa jamii hii ya jinsia ya "eva"
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 145
  Kama sijakusoma hivii, do you mean kwamba huu utafiti unawahusu rough riders?
   
 18. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,576
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280
  pole sana rafiki yaani uasherati wako ndo unakupa maisha mazuri!
  huo sio utafiti ni mawazo yako!
   
 19. MPEPE

  MPEPE Member

  #19
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  umewaharibu wadada kaka, ndomaana hata wakija huku wanataka kuapply the same!
   
 20. MPEPE

  MPEPE Member

  #20
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Nathani maeneo yenye hisia yame expire,thats why?
   
Loading...