Kwanini mada za mapenzi na mahusiano zinatrend Sana?

Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani kiukweli hizi mada zimenichosha aisee nimeblock we mpaka nimeshindwa natamani niitupe simu aisee

Huu ujinga utaukuta sana huku ukimani au Afrika hususani nchi ya kusadikika na yenye majuha kama Tanzania yaani hii nchi ingekuwa bize kuzungumzia kuhusu technology na maendeleo hii nchi ingekuwa mbali sana aisee
Kwasababu chanzo cha dhambi zi mapenzi.
 
Mapenzi ni rahisi kuaaccess, uwe umeenda shule au haujaenda
Uwe na miaka 18 au 60.
HUitaji kufanya research ili kuchangia mada ya mapenzi.

Ila sasa tukileta mada ya" jinsi matajiri wakubwa wanavyofaidia na vita" .
Unadhani ni wangapi watachangia?

LAkini hii unaweza kuitumia kujua ni jinsi gani jamii inaufahamu na mambo muhimu duniani.
 
Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani kiukweli hizi mada zimenichosha aisee nimeblock we mpaka nimeshindwa natamani niitupe simu aisee

Huu ujinga utaukuta sana huku ukimani au Afrika hususani nchi ya kusadikika na yenye majuha kama Tanzania yaani hii nchi ingekuwa bize kuzungumzia kuhusu technology na maendeleo hii nchi ingekuwa mbali sana aisee
Usiichukie nchi.Chukia hao wanaokukwaza kwa hizo tabia.
 
Hiki ni kizazi Cha mapenz na pesa kama huna kajinyonge mkuu
 
Tukizungumzia hacking mnatutafuta mtupige, tukiwasema kwenye siasa mnatupoteza, tukisoma tukapata degree mnataka turudi veta!.. Hapa ni kuzungumzia nyash na nyash tu ndo tutakuwa salama!.
😂
 
Back
Top Bottom