Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 3,065
- 7,625
Mda si mrefu ataaza kuwapelekea na miotoooo☄️☄️☄️ 🤒🤒🤒Kuna yule yuko Mbeya ameanza kukagua simu za waumini wake. Hawa jamaa wengi wao ni hamnazo. 😁
Mda si mrefu ataaza kuwapelekea na miotoooo☄️☄️☄️ 🤒🤒🤒Kuna yule yuko Mbeya ameanza kukagua simu za waumini wake. Hawa jamaa wengi wao ni hamnazo. 😁
Kwahiyo unataka kusema wanaofokewa ni mashetani kwenye mahubirishetani hawezi mfokea shetani mwenzie.
Nimetoka kuelezwa na padre juzi kati ktk ibada ya KUABUDU EKARISTI kuwa wanafanya hivyo ili kuwaamsha wanaolala.Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakari…
Ndio maana wameambiwa na papa wao wafirane wakakubali sababu mapadri wameandaliwa kuwa mapunga kwa kutoruhusiwa kuwa na mbususuMaustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakari…
Wamesomea nini?Kisomi zaidi,hao wameenda shule brother
kwasababu hawana Roho wa Mungu, hawajaokoka, wanahubiri kwa kutumia usomi na hekima ya kibinadamu, wala sio ile injili yenye uweza wa Mungu iletayo wokovu. wanaukataa wokovu, wanapinga issue ya kuokoka. that is why.Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka)
Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka)
Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana.
Tafakari…
Cha Kushangaza Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu ambavyo Catholic ndo walivikusanya na kuunda hiyo Bibilia. Ni kituko kusema kuwa Roman Catholic ni Unbibilical🤣🤣. Ata hivyo vitabu vya Bibilia ndani ya Quraan Vimetokana na Catholic Bible.. Ukatolic Ukiuelewa utokuwa na Mawenge kama yako wewe unaesema Catholic is UnbibilicalNi mfumo wao waliojiwekea kutoka kwa watungulizi wao hao rc ,haya makanisa mengine ni yakiprotestant msingi wake mkubwa kupingana na mafundisho potofu ya Roman Catholic ambayo ni unbiblical, ni Sawa na useme kwanini chadema viongozi wao wanakuwa wakali wakihutubia halaiki na ccm wanaongea kwa upole ,ukitumia akili yako majibu utayapata.
Hakika, ila wengi hupenda kelele zile.Ila mimi siwezi kabisa ku focus kukiwa na maombi ya kuongea kwa sauti. Huwa napenda kusali kwa ukimya, yaan mimi na Mungu wangu