nikiwa field yangu august 2015 mzee mmoja alinisimulia hii hadithi ya LEVINA (RIP)na habari za mzee PUNCH..zinasisimua...mzee yule alisimulia jinsi Punch walivyosababisha wanafunzi wa UDSM wakafukuzwa chuo mwaka mzima kisa punch kumdhalilisha Rais Mwinyi..
kweli mkuu Mungu atawalipa, nimeshangaa naanza kufanisha hii story na ndugu wa mama yangu katali sana huyu jamaa, pia alisoma miaka hiyo ya mwinyi, ukute nae ndo punch. Huyu jamaa kichwani smart sana kazi nzuri maisha mazuri, ana watoto wawili pasua kichwa sana, wakiume mdokozi balaa hajawahi maliza kidato cha nne, wa kike anapigwa miti na vijana ile mbaya, sasa ana mimba.Dah hakika stori ya Levina imenisikitisha hivi hao waliotajwa ndio wahusika wanajiskiaje ?? Natumaini nao sasa hivi watakua na watoto wa kike na kama ilivyo kawaida ya Karma watavuna tu walichopanda
kweli mkuu Mungu atawalipa, nimeshangaa naanza kufanisha hii story na ndugu wa mama yangu katali sana huyu jamaa, pia alisoma miaka hiyo ya mwinyi, ukute nae ndo punch. Huyu jamaa kichwani smart sana kazi nzuri maisha mazuri, ana watoto wawili pasua kichwa sana, wakiume mdokozi balaa hajawahi maliza kidato cha nne, wa kike anapigwa miti na vijana ile mbaya, sasa ana mimba.
r i p dada Levina
na kuna shule zilikuwa zinasikika kuwa mwanafunzi wa kike akifika anakuwa ameshachaguliwa na mwanamme, hakuna kusema hapana maana mateso yake hayavumiliki, mojawapo ilikuwa mkwawa high school
!.
Wanafunzi wanaosoma boys only, wanakabiliwa na tatizo la kisaikolojia liitwalo "male chauvinism", wanapontaka msichana, hujiona its their right kumpata, na akikataa pia its right kumbaka!, na wengi hubakwa hawasemi, hawalalamiki na baadhi ya mahusiano huanza kwa kumbaka ndipo kisha hupenda!. !".
Tabora School vs Mirambo SecMkuu umenikumbusha battle ya Tambaza Vs Azania. Kule Moshi kulikuwa na wababe wa Kibohehe / (Kolila?) na Kilimanjaro Boys. Kuna kipindi pia Lyamungo Vs Umbwe, Moshi Tech Vs Old Moshi. Ilikuwa full burudani.
milikua likizo na b mkubwa wangu na mbilinge hili lilitukuta town wakatushusha kwenye dala dala...asnate Mungu hatukupigwa ila since the nikasema mwakani lazima nije kusoma Tamba!Hahaha!! hayo majina ukiyasikia tu unajua kabisa si salama
Kuna siku mwaka 1993 au 1994 wanafunzi wa WU-TAMBA walitembeza mkong'oto karibia shule zote za msingi na sekondari.
Nakumbuka siku hiyo ilikuwa ni hekaheka mjini hapa, wanafunzi na waalimu walipigwa bila kusahau mali za shule nyingi ziliharibiwa.