Katika maswala yetu ya umoja wa kusaidiana na kufarijiana katika kikundi chetu likaletwa wazo la kila mtu aje na mke wake siku ya sherehe ya kikundi chetu... lakini miongoni mwa wadau tulionao katika kikundi wamepinga vikali na kudai kwamba hakuna haja ya mtu kuja na mkewe hapa.. mmoja akadai yeye ndani ya miaka mitano hajawahi kuongozana na mkewe kwenda maeneo yoyote yale... jamani kwa nini iwe noma kuongozana na mkeo kwenye shughuli mbalimbali kama harusini, msibani hata kwenye nyumba za ibada...........

Hilo tatizo lipo, tena sana sana kwa sisi wanaume.
Huwa nahisi ni mtu kukosa kujiamini, huenda anaogopa kuona mkewe akipigiwa "mbinja" na wanaume wengine na muda mwingine kuitwa itwa ovyo.
Pia muda mwingine unakuta mtu umetongoza mahali na kudanganya haujaoa, sasa unaogopa kuongozana na mkeo maana huenda ukakutana na yule "mtongozwaji" na akakuona ukiwa na mamsapu wako na hivyo kukucheua(kukuyolea nje).
Inapendeza mwanaume kuongozana na mkeo ila sio kila corner upo nae utasema mtu na kivuli chake.
Moment niipendayo ni kumuona mwandani wangu yupo pembeni yangu...wanaume wengine najua watakula kwa macho tu ila mwenye kisu kikali ni mimi...
Nyinyi ambao mnaogopa nina wasiwasi mlisaidiwa kuchagua wake zenu...
Watu wa ivo hawajakomaa kwenye mahusiano ujue...
Hahahahahahaha lol umenichekesha sana aisee . Nadhani atokee mdau aanzishe chuo cha kufundisha namna ya kuchagua mwenza manake hii mambo ya mume mita kumi toka kwa mke haipendezi kabisa.Mpwa sehemu pekee ambayo mwanaume unatakiwa utulize ball basi ni wakati wa kuchagua mke inabidi utumie kipaji maalum...
Ukibug tu hapo basi ndio yanaanza haya mambo ya kutangulizana mbele kama kiongozi wa mbio za mwenge...
Moment niipendayo ni kumuona mwandani wangu yupo pembeni yangu...wanaume wengine najua watakula kwa macho tu ila mwenye kisu kikali ni mimi...
hahahahahaha tena sithubutu kabisa kuingilia ndoa za watu labda mimi nibaki kua mama ushauri tu, na iwapo nitaombwa kutoa ushauri tena pawe na kibali cha mke na mume lol. FP aliomba tu nikupe darsa la kupika ugali na nsansa kisa yeye aliupenda.
Hahahahahahaha lol umenichekesha sana aisee . Nadhani atokee mdau aanzishe chuo cha kufundisha namna ya kuchagua mwenza manake hii mambo ya mume mita kumi toka kwa mke haipendezi kabisa.