Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Katika maswala yetu ya umoja wa kusaidiana na kufarijiana katika kikundi chetu likaletwa wazo la kila mtu aje na mke wake siku ya sherehe ya kikundi chetu... lakini miongoni mwa wadau tulionao katika kikundi wamepinga vikali na kudai kwamba hakuna haja ya mtu kuja na mkewe hapa.. mmoja akadai yeye ndani ya miaka mitano hajawahi kuongozana na mkewe kwenda maeneo yoyote yale... jamani kwa nini iwe noma kuongozana na mkeo kwenye shughuli mbalimbali kama harusini, msibani hata kwenye nyumba za ibada...........
 
Hilo ni tatizo kwa wanandoa kadhaa sijui kwanini tu. Hata mimi nimeshuhudia wanandoa wakipinga vikali suala la kuongozana, nadhani huwa wana ajenda ya siri hapo.
 
Hilo tatizo lipo, tena sana sana kwa sisi wanaume.

Huwa nahisi ni mtu kukosa kujiamini, huenda anaogopa kuona mkewe akipigiwa "mbinja" na wanaume wengine na muda mwingine kuitwa itwa ovyo.

Pia muda mwingine unakuta mtu umetongoza mahali na kudanganya haujaoa, sasa unaogopa kuongozana na mkeo maana huenda ukakutana na yule "mtongozwaji" na akakuona ukiwa na mamsapu wako na hivyo kukucheua(kukuyolea nje).

Inapendeza mwanaume kuongozana na mkeo ila sio kila corner upo nae utasema mtu na kivuli chake.
 
Katika maswala yetu ya umoja wa kusaidiana na kufarijiana katika kikundi chetu likaletwa wazo la kila mtu aje na mke wake siku ya sherehe ya kikundi chetu... lakini miongoni mwa wadau tulionao katika kikundi wamepinga vikali na kudai kwamba hakuna haja ya mtu kuja na mkewe hapa.. mmoja akadai yeye ndani ya miaka mitano hajawahi kuongozana na mkewe kwenda maeneo yoyote yale... jamani kwa nini iwe noma kuongozana na mkeo kwenye shughuli mbalimbali kama harusini, msibani hata kwenye nyumba za ibada...........

haaaa...huyo ana matatizo makubwa sana...kama unampenda mkeo utaona fahari kuongozana naye....popote pale. She is your First Lady au sio?
 
Katika maswala yetu ya umoja wa kusaidiana na kufarijiana katika kikundi chetu likaletwa wazo la kila mtu aje na mke wake siku ya sherehe ya kikundi chetu... lakini miongoni mwa wadau tulionao katika kikundi wamepinga vikali na kudai kwamba hakuna haja ya mtu kuja na mkewe hapa.. mmoja akadai yeye ndani ya miaka mitano hajawahi kuongozana na mkewe kwenda maeneo yoyote yale... jamani kwa nini iwe noma kuongozana na mkeo kwenye shughuli mbalimbali kama harusini, msibani hata kwenye nyumba za ibada...........

Kwani huyo mkeo mlipendana kabla ya kuoana au ulikamatiwa kama kesi ya mimba na kulazimishwa? Usipokuwa PRAUDI na mkeo (kama hajakuboa\hujamboa) utokapo unajivunia nini?
 
Hilo tatizo lipo, tena sana sana kwa sisi wanaume.

Huwa nahisi ni mtu kukosa kujiamini, huenda anaogopa kuona mkewe akipigiwa "mbinja" na wanaume wengine na muda mwingine kuitwa itwa ovyo.

Pia muda mwingine unakuta mtu umetongoza mahali na kudanganya haujaoa, sasa unaogopa kuongozana na mkeo maana huenda ukakutana na yule "mtongozwaji" na akakuona ukiwa na mamsapu wako na hivyo kukucheua(kukuyolea nje).

Inapendeza mwanaume kuongozana na mkeo ila sio kila corner upo nae utasema mtu na kivuli chake.

Watu wa ivo hawajakomaa kwenye mahusiano ujue...
 
Moment niipendayo ni kumuona mwandani wangu yupo pembeni yangu...wanaume wengine najua watakula kwa macho tu ila mwenye kisu kikali ni mimi...
Nyinyi ambao mnaogopa nina wasiwasi mlisaidiwa kuchagua wake zenu...
 
Dizaini "mkeo ndo huyu"...bhaasi...kumbe kidume ukija mtaani ukikutana na kina snowhite na cacico unaanza kuona he? kumben 'nimebugi meen'
 
Last edited by a moderator:
Hapana Kaizer huyo mkaguzi simfahamu kwa kweli na nadhani sijapitapo ofisini kwenu

duh.....basi kama ndio hivo, utakuwa ume 'zamia' kinamna hebu fika chit chat kule tu do ze nidiful. Manake kuna watu wana ndoa zao hapa sasa usije ukaingia mkenge

CC Baba V Asprin
 
Last edited by a moderator:
Mpwa sehemu pekee ambayo mwanaume unatakiwa utulize ball basi ni wakati wa kuchagua mke inabidi utumie kipaji maalum...
Ukibug tu hapo basi ndio yanaanza haya mambo ya kutangulizana mbele kama kiongozi wa mbio za mwenge...

Dizaini "mkeo ndo huyu"...bhaasi...kumbe kidume ukija mtaani ukikutana na kina snowhite na cacico unaanza kuona he? kumben 'nimebugi meen'
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: awp
duh.....basi kama ndio hivo, utakuwa ume 'zamia' kinamna hebu fika chit chat kule tu do ze nidiful. Manake kuna watu wana ndoa zao hapa sasa usije ukaingia mkenge

CC Baba V Asprin

Kaka Kaizer si useme ukweli tu, au na wewe mdomo umeshaanza kuwa mzito?
 
Last edited by a moderator:
Mpwa sehemu pekee ambayo mwanaume unatakiwa utulize ball basi ni wakati wa kuchagua mke inabidi utumie kipaji maalum...
Ukibug tu hapo basi ndio yanaanza haya mambo ya kutangulizana mbele kama kiongozi wa mbio za mwenge...
Hahahahahahaha lol umenichekesha sana aisee . Nadhani atokee mdau aanzishe chuo cha kufundisha namna ya kuchagua mwenza manake hii mambo ya mume mita kumi toka kwa mke haipendezi kabisa.
 
Moment niipendayo ni kumuona mwandani wangu yupo pembeni yangu...wanaume wengine najua watakula kwa macho tu ila mwenye kisu kikali ni mimi...

Hongera mwaya watu8 kwa moyo wa ujasiri na usio na chembe ya woga ila mie bado na-pepesa pepesa macho.

Si unajua nimewatupia nyavu wakina Mamndenyi, Ablessed, Heaven on earth na Paloma.

Hivyo wakioniona kila kona naongozana na mamsapu wangu watafunga ule mlango wa neema ambao nilikuwa natarajia kuupata siku chache zijazo.
 
kama ungelikuwa umemuuliza mmojawapo wa wale wanakikundi chako bilashaka wangelikupa sababu ,bilashaka wanayo sababu,ingawa inawezekana isiwe ya kushibisha kiu yako ya kutaka kujua sababu hizo.
uzuri wa mkakasi ndani pande la mti
 
duh.....basi kama ndio hivo, utakuwa ume 'zamia' kinamna hebu fika chit chat kule tu do ze nidiful. Manake kuna watu wana ndoa zao hapa sasa usije ukaingia mkenge

CC Baba V Asprin
hahahahahaha tena sithubutu kabisa kuingilia ndoa za watu labda mimi nibaki kua mama ushauri tu, na iwapo nitaombwa kutoa ushauri tena pawe na kibali cha mke na mume lol. FP aliomba tu nikupe darsa la kupika ugali na nsansa kisa yeye aliupenda.
 
Last edited by a moderator:
Hawajiamini hao.
Utakuta mtu anajitapa ya nyumbani kwake ila ukiona picha tu ya mkewe unaweza ukapata mkanda mzima.
Tujiamin jamani na tuache kujinadi mwisho wa siku hayo yanawakuta baadhi yenu.
 
Hahahahahahaha lol umenichekesha sana aisee . Nadhani atokee mdau aanzishe chuo cha kufundisha namna ya kuchagua mwenza manake hii mambo ya mume mita kumi toka kwa mke haipendezi kabisa.

Halafu ujue natamani nijue kama wewe na Mr mnaongozana?

Ni-PM basi picha yenu ya pamoja kama hutojali.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom