Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

Ukishika wire halafu umekanyaga chini basi utakula shoti ila kama umeshika wire juu kwa juu hutapigwa shoti kwa kuwa hujacomplete circuit haya ni kwa mujibu wa mwl wangu wa physics a level (nisahihishe)
Amekudanganya huyo.. Nenda kashike waya wa gridi ya taifa bila kugusa chini uone kama hujageuka majivu
 
Na sababu nyingine, nyaya za umeme zina maganda juu, kwa hiyo akitua sehemu yenye ganda hawezi kunaswa na shoti ya umeme
 
Kuna MTU uku kwetu mitaa ya yombo kilakala alikula kungulu aliumwa mpaka akafaliki
 
Kwasababu Kunguru mwenyewe ni funza mwenye mabawa,funza anakula mizoga na kunguru hivyo hivyo
Hahahaa! Mkuu hii elimu ulifundishwa na nani? Na ilikua wapi?

Kunguru atakuaje yeye ni Funza?!Funza ni hatua mojawapo ya ukuaji wa viumbe hasa wadudu ambao wanapitia hatua za Metamorphosis,

kwa mfano kuna jamii fulani ya Nzi weupe,hawa Nzi wana umbo kubwa kiasi,hawa Nzi hua wanataga mayai,na baada ya dakika kadhaa hugeuka kua Funza,Jaribu kusoma Theories of evolution has a spantaneous generation utaelewa zaidi.
 
Ndege wote miguu yao imefunikwa na magamba yasiyopitisha umeme ndio maana hawawezi kudhurika na umeme
 
alitumwa na nuhu akacheki kama maji yameisha hakurudi tena kwa nuhu akanogewa na mapochopocho aloyakuta yanaeleaelea
Si kweli kwamba alinogewa na mapochopocho ndiyo maana hakurudi,ila sababu ni kuwa alipata pa kutua na hilo ndiyo lillomjulisha nuhu kuwa maji yamekauka!!!
 
mkuu kwani kinacho decompose chuma nnn kama si baadhi ya viumbe visivyoonekana? the same applied to Kunguru nao wanaoza kwa sababu kwenye eco-sestem kuna decomposers hukoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…