Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

Kunguru ndiye kiumbe pekee ambae anakula kila kitu kilichopo hapa duniani.... Na anauwezo wa kula mzoga hata kama una siku nyingi..... Na ndege wengine wana uwezo wa kula mizoga lkn tofauti ni kuwa kunguru sumu yake ni kali na imetapakaa mwili mzima!!! Kunguru hana bile duct badala yake sumu yake imetapakaa kila sehemu ya mwili wake i mean kwenye nyama na damu....
 
Sumu ya kunguru nuksi hata nyongo ya mamba haitii mguu.
BASI KWA SABABU KUNA KUNGURU WENGI TANZANIA, NA KWA SABABU KUNGURU WANAFUGIKA NA TUNAWEZA KIWAZALISHA KWA WINGI, NA KWA SABABU KUNGURU ANA SUMU KALI, KWA NINI HIYO SUMU YA KUNGURU ISITUMIKE KUTENGENEZEA MADAWA YA VIUATILIFU ILI TUPUNGUZE MAGONJWA YA MAZAO YETU!!!!
 
Kunguru na ndege wengine hawanasi kwenye umeme kwa sababu ya insulator iliyofunika miguu yao na sio damu ya acid.... ndio maana kunguru akijisahau akabeba waya mdomoni na kugusisha na nyaya ya umeme wanakufa.
 
Nasikia kunguru damu yake.ni acid. Na wala katika maisha yao huwa hawaugui kwasababu ya damu yao kuwa sumu na hakuna mdudu anayeweza kuishi kwenye miili yao. Nasikia wanaishi zaidi ya miaka 100 hao.
Waongezewe kidogo damu yenye HIV tuone
 
Na wewe ndiye mbabe kwa hili sasa tusubirie kuwaona wababe wako
 
Kunguru na ndege wengine hawanasi kwenye umeme kwa sababu ya insulator iliyofunika miguu yao na sio damu ya acid.... ndio maana kunguru akijisahau akabeba waya mdomoni na kugusisha na nyaya ya umeme wanakufa.
wabongo bwana !! kila kila kimiminika au sumu wasioielewa huita ''ACID'' nani kakuambia ni acid kama ni "CYNIDE" utajuaje? acha uvivu !!! acha habari za kusikia!!!1 thibitisha men!!!!!!!!!!!!!! . Nenda kwenye book shop waambie wakupe "BLUE LITMUS PAPER" kunguru wamejaa mjini na mtego wake ni rahisi tega mmona ua , kata shingo damu yake iweke kwenye hiyo litmus paper ya blue ikibadilika kuwa nyekundu basi umethibitisha hizo " NASIKIA ZAKO" otherwise no experiment no right to speak
 
I go by this,very much realistic because i have seen crows/kunguru wapigwa umeme mara nyingi tu.
 
Na sio kunguru tu, hata ndege yeyote anayetua juu ya nyaya za umeme bila kupata madhara yayoye hawezi kuoza!
Hata binadamu anaweza kusimama kwenye waya wa umeme na hasipate madhara.
 
I go by this,very much realistic because i have seen crows/kunguru wapigwa umeme mara nyingi tu.
Mara nyingi hao kunguru na ndege hawatui kwenye high voltage cables wanatua kwenye hizi csble ndogo ndogo.. Akitu kwenye high voltage lazima aje humu ndani kutoa mrejesho...
 
Wanakauka na kusagika ila hawaozi. Ni kama lilivyo jiwe nali linasagika ingawa haliugui.
 
But ukishika live wire inakuaje?
Ukishika wire halafu umekanyaga chini basi utakula shoti ila kama umeshika wire juu kwa juu hutapigwa shoti kwa kuwa hujacomplete circuit haya ni kwa mujibu wa mwl wangu wa physics a level (nisahihishe)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…