Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

Hii ni kweli,sio funza tu hata Sisimizi hawasogelei mzoga wake.
 
True, its abt 200yrs
Hawa viumbe wa ajabu. Sijui kama na wale ndege wanaitwa bwana afya ni jamii yao.Nilikuwa ukelewa wakanipa story jamaa waliowahi kula hao ndege. Walikufa kwa kiu. Kila wakinywa maji ndo kwanza kiu inaongezeka. Nasikia unaweza kunywa hata pipa zima.
 
Nadhani umemaliza kila kitu... unless kuna kichwa ngumu mmoja awe na swali la nyongeza
 
Yeye hapigwi shoti kwa sababu anakua haja complete circuit ila binadamu anaposhika nyaya anakua kama vile kajifanya waya wa kupitisha huo umeme kwenda ardhini(Niko tayari kusahihishwa)
But ukishika live wire inakuaje?
 
kunguru haozi sheikh.....anakaukiana concept yako hapo juu nimeilewa sana lakin i think kuna cha ziada kwa kunguru
 
Kweli mm nilishuhudia fundi anashika waya live bila wasi nikachoka nikamuuliza akanijibu something to do with conductivity au Earthing sikumbuki vzr.
nyaya utashika iwapo tu kuna plastic cover....kama haina hiyo ndugu hakuna ufundi hapo...lazima uwake....
 
Kunguru anasumu asee. Kuna mwehu alimbahatisha akadai kapata kuku. Keshoye alikuwa marehem.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…