Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,012
- 54,174
Sawa nimekuelewa mkuuMimi nimewazungumzia wale wanaojua kabisa wanatembea na waume za watu, hao wengine sijui.
Dada huwajui wanaume ww unaweza ukapewa mimba na ukakimbiwa na usifanye chochote, hujakutana na wahuni.
Mimi mwenyewe sipendi tabia za vijana wa siku hizi za kupendwa kuitwa baba lakini hatupendi yale majukumu ya ubaba na najua matunda yanayopatikana watoto wakilelewa na baba na mama, vilevile najua madhara ya mtoto akilelewa na mzazi mmoja.