Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Mimi nimewazungumzia wale wanaojua kabisa wanatembea na waume za watu, hao wengine sijui.

Dada huwajui wanaume ww unaweza ukapewa mimba na ukakimbiwa na usifanye chochote, hujakutana na wahuni.

Mimi mwenyewe sipendi tabia za vijana wa siku hizi za kupendwa kuitwa baba lakini hatupendi yale majukumu ya ubaba na najua matunda yanayopatikana watoto wakilelewa na baba na mama, vilevile najua madhara ya mtoto akilelewa na mzazi mmoja.
Sawa nimekuelewa mkuu
 
Tungekuwa tunazaa alafu tunawapa walee maybe akili zingewakaa sawa.
Mimi nafikiri tusitafute mshindi ke au me kama wengi wanavyoupeleka mjadala huu,mtoto anataka ukaribu wa wazazi wote angawaje baadhi ya wazazi huwalisha sunu mbaya watoto kuhusu mzazi mwingine.kukwepa mtoto ni irresponsibility na kumwachia vidonda mtoto.Mungu atusaidie kwenye hili na kutupa busara.
 
mi nimetengeneza single mother kwa mikono yake mwenyewe, Mwanamke umtolee mahali, wazazi wake wakupatie, lengo lako mtengeneze familia, alafu yeye anageuka mshindani wako.

Yaani wewe unafikiria kifamilia, yeye anafikra zake binafsi kabisa kinzani kabisa na misingi ya ujenzi wa familia.

ataisoma namba.
Tatizo la single mothers ni kubwa saana na chanzo chake ni wanawake kutaka kuwa washindani. Kwa wanaume..hapa ndio chanzo cha kuongezeka wanawake wanao tunza watoto pekee yao kuwa kubwa
 
Tatizo la single mothers ni kubwa saana na chanzo chake ni wanawake kutaka kuwa washindani. Kwa wanaume..hapa ndio chanzo cha kuongezeka wanawake wanao tunza watoto pekee yao kuwa kubwa
But iits very sad for that to happen and no.1 victim ni mtoto.he/she is bleeding!!!!!!!for couples' mistakes,so sad!
 
Mimi Hilo la Baba sijali atajiju as long as I can provide everything to my baby I don't care. Ka mimba nilibeba miezi tisa na huo ni msalaba wangu. Tatizo mtu ukizaa na mtu unataka usumbufu na anafamilia yake kwa kisingizio cha kulea mtoto. Mimi nikiwa na watoto ndo kila kitu na first priority ndo anakuwa mume wangu
Wee Dada mbona unaakili kama zangu !!!! Nilikua sitak kucomment kwenye hii thread ila imebidi tu.......
mtu ambae hajali mtoto namhesabia kama alishafariki sina mda wa kujiliza liza kisa mtoto kwa mtu ambae hana muelekeo ,nijikute tu naanza kulilia child support hahahaha yeye ndo atakua wa kwanza kulalamika namnyima mtoto akiamua hata aende ustawi, ila sitolilia vi laki 3 au 5 za malezi ya mtoto....

Kwa upande wangu mtu aitwe baba lazima ajue mtoto amelala vipi ,na ameamka vipi ,akiumwa ni wote tupo hospital na sio malezi ya simu na vijisent vyako eti ndo kulea ....... Poor him namhesabia kama sperm donor tuuu na siku iliyoingia mimba na kazi yake iliishia hapo.
 
Very sad!!!
 
kuna wanawake waliolewa na maisha ya ndoa yakawa magumu kwao wakaamua kusepa na mtoto/watoto wao... furaha ya mtu ni jambo kubwa sana sio uteseke kisa uonekane upo ndoani.

By the way kwanini wanaume wanaleta sana mada za single moms lakini sijawahi kuona single mom akileta mada za kulia lia??

Women are very strong, keep it up ladies.
Stress zinawasumbua, uzuri mwanamke ni mwepesi kuchukuliana na hali halisi .....ila wanaume inawala saana
 
Accurate.. Damn you're
Cowardly men who only seek to test whether they are impotent or not. Once they know they can make a woman pregnant basi they go on a baby making spree. Not once providing for any of their kids.

And the women are too strong to just take the beating lying down. Therefore, there is an increase of single mothers but they won't say there is a rise of successful women too, and they happen to be single.

The kids you abandoned happened to be the source of strength for them. The wind that helped them soar in the sky despite the rough winds.

Stay strong single ladies. You are queens, never let your crowns tip over. Adjust them and never lose focus.
 
Tatizo wanapenda Sana pesa,dawa yao Ni kuwatia mimba tu then wakafie mbele,Mimi nishatia mimba watatu
Nyie ndio mnafanyaga wanaume wote tuonekane wapuuzi na tusio na maana kabisa hvi kweli kuwatia mimba wanawake hovyo ni jambo la kujivunia ??Tuheshimuni wanawake jamani
 
Inategemea na mzazi. Mama yangu alishaniusia kutokua mimba. Alisema kuliko utoe mimba zaa nipe nilee. Sio kila mzazi anasapoti abortion.
Mimi hata uniite jina gani kwa kuwa nimeleta kiumbe unajichosha tu. Hujui furaha yangu hivyo kuwa huru kuniita chochote hunitingishi. Tena nikimuangalia mwanangu nazidi kumpenda nikiona kuna watu hamkutaka nimlete eti nitakua mjinga.
Mzigua binafsi nakuelewa sana tu hawa wapuuzi wachache wasisumbue akili yako kabisa hili neno single mother lenyewe limekaa kukandamiza wanawake kuzaa kabla au kuzaa na mwanaume mpuuzi asiyeelewa majukumu yake haifanyi mwanamke awe na hatia wala kosa lolote maana lazima tukubali wapo wanaume wengi wasiojielewa na hawa ndio tatizo kwenye jamii
 
Shukrani mkuu. Ongeeni na wanaume wenzenu muwafundishe uanaume sio kusimamisha tu na kukojoa hata kuishi matokeo ya kusimamisha kwao ndo uanaume halisi

Mleta mada utakuwa umepigwa kibuti na single mom. Being single mom sio dhambi, kila alipo single mom Kuna mwanaume aliye kimbia majukumu. Pia swala letu la isingle mom kwanini liwaumize wanaume.

Wanawake wenzangu msikatishwe tamaa na hawa wanaume wajinga, na wap..umbavu waolnaoanzisha mada kuzalilisha wanawake wanaolea watoto kwa shida
Mimi nawapenda sana wanawake sna tu kwanza ni mama zetu pili ni Dada zetu binafsi nimezaliwa katika familia ambayo wa kiume ni Mimi pekee na kati ya Dada zangu wawili wamezalishwa na wanaume wapuuzi wasiojielewa na sasa jamii inawaita single mother I feel the empathy kwa ajili yao na kila mwanamke outhere sijaona walipokosea kabisa kosa dogo tu walilofanya labda ni kuwaamini wanaume wale wapuuzi wasiojua majukumu yao Kwangu mwanamke anastahili heshima sana wapo wanaotukana na kuwadharau wanawake huo ni ukosefu wa akili na maadili
Mimi katika maisha yangu nimechagua kumlinda,kumthamini, kumheshimu mwanamke na siwezi dharau wanayopitia nawapenda sna Wanawake kwa kila jambo niko pamoja nao na sitawajudge kwa minor mistakes
 
Shukrani mkuu. Ongeeni na wanaume wenzenu muwafundishe uanaume sio kusimamisha tu na kukojoa hata kuishi matokeo ya kusimamisha kwao ndo uanaume halisi
Ni ujinga ama ulimbukeni unaowajaa kichwani si kingine hawa pia ndio wanaofanya wanaume wote waonekane ni wapuuzi cha muhimu ni kuwadharau na kuwapuuzia maana hawaongezi wala hawapunguzi chochote katika maisha yenu
 
Mimi nawapenda sana wanawake sna tu kwanza ni mama zetu pili ni Dada zetu binafsi nimezaliwa katika familia ambayo wa kiume ni Mimi pekee na kati ya Dada zangu wawili wamezalishwa na wanaume wapuuzi wasiojielewa na sasa jamii inawaita single mother I feel the empathy kwa ajili yao na kila mwanamke outhere sijaona walipokosea kabisa kosa dogo tu walilofanya labda ni kuwaamini wanaume wale wapuuzi wasiojua majukumu yao Kwangu mwanamke anastahili heshima sana wapo wanaotukana na kuwadharau wanawake huo ni ukosefu wa akili na maadili
Mimi katika maisha yangu nimechagua kumlinda,kumthamini, kumheshimu mwanamke na siwezi dharau wanayopitia nawapenda sna Wanawake kwa kila jambo niko pamoja nao na sitawajudge kwa minor mistakes
Hakika,kila mtu hukosea katika eneo Fulani la maisha na kila mtu anastahili nafasi ya pili,cha msingi warudi katika misingi ili wasirudie kosa hilo tena!
Ni lazima wawe katika mahusiano yanayoeleweka,mwanaume awe tayari kuwa baba ndipo mimba itungwe!

Japokuwa kila mtu ana sehemu ya kufanya lakini Mwanamke anapaswa kuwa na maamuzi zaidi juu ya kubeba au kutokubeba mimba,Mimba haitakiwi iwe tokeo la ajali!! Siyo kila tendo la ngono linatakiwa lisababishe mimba! Kwenye mzunguko wa mwezi mzima wa hedhi Siku za kubeba mimba hazizidi saba,zingine zote ni siku tatu hadi tano za hedhi zingine zote BATA! Simple Math,Kubeba Mimba ni Kuchagua unless mtu amebakwa!
 
Nimejaribu kukuelewa mkuu ila nataka tukubaliane kwa pamoja kwamba kuna muda ni ngumu kujua kuwa upo kwenye mahusiano yanayoeleweka ama ya ovyo hvyo mwanaume kutumia udhaifu wa imani aliyopewa na mwanamke kumlaghai kuzaa naye na kumkimbia si jambo linalofaa katika Jamii
Kumbuka katika jamii zetu za Kitanzania kuzaa kabla ya kuoana ni utaratibu ambao umeendelea kuwepo kizazi na kizazi na wengi hapa ni mashahidi tulizaliwa kabla ya wazazi wetu kufunga ndoa rasmi iwe ya kanisani msikitini ama serikalini je vp kama baba zetu wasingewajibika na kutimiza wajibu wao wa kukaa na familia zao na kufunga ndoa baadae hali ya kuwa wameshapata watoto tayari??Wengi tungeishia kulelewa na mama pekee pia single mama wangeongezeka kinachosumbua ni wanaume kutochukua nafasi yao vizuri na mbaya zaidi kuwadhihaki wanawake wenye watoto kabla ya ndoa na kuwaona viumbe wasiofaa si sahihi lazima pia tukubali kuna sehemu tunakosea
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom