Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Sorry, Una elimu gani?
 
Mimi naona kuna ongezeko kubwa la wanaume wasiotambua majukuku yao katika familia..
 
Akaaa.. kunifananisha na mbwa kanigusa kwa kweli. Yani kama kajua kugusa hisia zangu ni leo. Kati ya vitu vinaniumiza ni dharau. Hata matusi naweza kuyahandle ila dharau zinanizidi nguvu.
wa nyumbani, Nani kakufananisha na Mbwa?
 
Baadhi ya wanawake bado wanaamini kushika mimba kutamfanya mwanaune ajicomit kumuoa ama kupata mahitaji na attention ya mwanaume. So wengi hubeba mimba kusudi na ndio Hao huishia single mothers.
 
Unapo sema wanawake hawajatulia wana fanya ngono na mti au mbona mna kimbia kivuli chenu ukweli ni kwamba nyinyi ndio hamjatulia zaidi.
Whatever either wanafanya na miti, toys ila ukwel utabaki kuwa hvyo, Je ww kama mwanamke unashindwaje kukataa kushiriki ngono bila kinga au kutumia contraceptives wakati unajua kuna kupata mimba? Hata kama ulilazimishwa kufanya( rape) unashindwa kwenda kuriport kweny vyombo husika?? Mambo mengine mnajitakia wenyewe tu mwisho wa siku lawama zinakuja kwetu sisi wanaume
 
Kiukweli sikuizi Wanaume tunapata kila kitu bila ya kuingia kwenye Ndoa hasa Ndoa ya nini Mazee walikuepo wanataka kutoka stress tu.
 
Hii itakuwa thread yangu ya mwisho kuisoma kwa leo. Tutaona siku nyingine.

Muda wa ciesta unakaribia ili tuwahi kuamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…