Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Mmh sista leo umeamua kweli kutoa ya moyoni
 
Inakuwa na nguvu zaidi ukikifanya.
Very possible lakini sio muda wote utapitia exactly uliyoyaona kwa wenzio. Unaweza ukakutana na kitu kipya kabisa na pia unaweza kupitia aliyopitia fulani lakini yakakuchanganya zaidi ( uwezo wa kuhimili mambo unatofautina). Ingawa naamini kwa kujifunza kupitia kwa wengine+ personal experience vinaweza kukufanya kuwa a better person
 
Labda sababu za mahusiano yaliyopita yanakuwa yameshatuchosha saana
kiasi kwamba mwenzio akifanya kitu inakua kama 'marudio'
ni kama anakurudisha kulekule ulipoapa hutarudi.....ndo maana hasira zinakua twice

Sasa kwanini usitumie hizo experience za nyuma ktk kutatua ya sasa yanayokukabili?? Matokeo yake unajumuisha tu, hiyo ni dalili kuwa haujakua, maana tunapitia experience fulani ili tujifunze kwaajili ya baadae.
 
The word here ni 'kuchoshwa'
 
pierre tall umeongelea kile kile nilichokuwa ninakiongelea(kutulaumu tuu) bila kuangalia nafasi yenu pia ktk hizi fauls, mlipoambiwa muishi nasi kwa akili it means hayo uliyoyaongelea yatatokea na mtatakiwa kusimama kama wanaume to correct the situation.

Ukisema wanawake huwa tunashauriana sana kuvunja mahusiano aisee hili nakataa, maana hakuna watu ambao huwatia moyo wanawake katika hili kama wanawake wenyewe, huku hata wakipeana mifano ya waliyopitia wao, unless hajaolewa so hana uchungu na ndoa.

Huwa mnatumia michepuko kama ndio suluhisho, na sio kwamba ni kwa muda mfupi huku ukitafuta suluhisho la kudumu, mwisho wa siku mwanamke ndie anayehangaika na familia na kuhangaika na kukuombea ili urudi nyumbani, anakubali makosa yooote hadi yaliyokuwa yako ili tu ndoa irudi.

Tukubaliane kuwa hamuwezi kutukuta tukiwa wakamilifu kama ambavyo nyie msivyo wakamilifu pia, sasa tuchukuliane,turekebishane na tuvumiliane kwa ustawi wa familia zetu na jamii zetu. Pale mwanamke anapojisahau basi ndio uonyeshe uanaume wako kwa kumrudisha kwenye mstari naye mwanamke atafanya vivyo hivyo, sio kutegeana uone kakosea upate kisingizio.
 
Last edited by a moderator:
Mmh sista leo umeamua kweli kutoa ya moyoni

Hahahaaaaa! My kaka yaani we acha tu, acheni kututegea tukosee jamani maana kukosea kupo na tutakosea tu, sasa tukikosea turekebishane na sio kusimangana na kutumia kama loop hole ya kutunyanyasa. Zile akili mlizoambiwa mzitumie ili mambo yaende sawa.
 
Hahahaaaa! Huyu ni muke ya Paulo Sergio De Souz bwana na ana experience ya kutosha tuuu, na experience zingine ni zile za ndoa za muda mfupi, teh teh teh teh.

Hahahhaha boss ntakutusi, ndoa za muda mfupi ni Zipi hizo? Umenikumbusha mbali sana teh
 
Last edited by a moderator:
Tuashirikiane, tusitegeane!!
 
Attachments

  • 1444308315394.jpg
    1444308315394.jpg
    25.3 KB · Views: 85
Hahahhaha boss ntakutusi, ndoa za muda mfupi ni Zipi hizo? Umenikumbusha mbali sana teh

Nitukane nikunyanyase kazini, au hujui ni mwendo wa kutegeana tu, nakusubiri tu ukosee, ukikosea tu unalo!

Si zile za muda mfupi? Au umezisahau?
 
Nitukane nikunyanyase kazini, au hujui ni mwendo wa kutegeana tu, nakusubiri tu ukosee, ukikosea tu unalo!

Si zile za muda mfupi? Au umezisahau?
Hahaha ngoja nicheke mie, hivi hushangai siku hizi nimekuwa kajeuriii. Eeeh ngoja nisitoe siri, ila huninyanyasi tena teh
Teh sijawahi kuolewa before.. ndoa fupi or ndefu. Hii ndiyo ndoa yangu ya kwanza na ya mwisho[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Hahaha ngoja nicheke mie, hivi hushangai siku hizi nimekuwa kajeuriii. Eeeh ngoja nisitoe siri, ila huninyanyasi tena teh
Teh sijawahi kuolewa before ndoa f upi or ndefu. Hii ndiyo ndoa yangu ya kwanza [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Najua anayekupa jeuri, vipi ile biashara ashakufungulia?
 
Back
Top Bottom