Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,045
- 12,545
yeye Kubenea ndie alitakiwa wa kwanza kufukuzwa kwa kuiongopea dunia kwa miaka zaidi ya minane kupitia magazeti yake ya Mwanahalisi ya kuwa Lowasa na Sumaye ni mafisadi wa kutupwa nchi hii. lakini baada ya kulambishwa manoti akaikana ukweli na nafsi yake . Mungu yupo na malipo lazima yafanywe hapahapa duniani! hawezi kufanya watanzania ni mazuzu kiasi hicho
malipo yalifanyika kwenye sanduku la kura na alipata mshahara wake mnono.