Kwanini Kubenea anataka Makonda aondolewe Kinondoni?

yeye Kubenea ndie alitakiwa wa kwanza kufukuzwa kwa kuiongopea dunia kwa miaka zaidi ya minane kupitia magazeti yake ya Mwanahalisi ya kuwa Lowasa na Sumaye ni mafisadi wa kutupwa nchi hii. lakini baada ya kulambishwa manoti akaikana ukweli na nafsi yake . Mungu yupo na malipo lazima yafanywe hapahapa duniani! hawezi kufanya watanzania ni mazuzu kiasi hicho

Kwa taarifa yako tz ni mazuzu kuliko mazuzu wote duniani! Nchi ambayo unaulizwa lasilimali na maliasili nyingi unazo kwanini maskini unajibu SIJUI!
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Kubenea anamuandalia mazingira mtu wake awe mkuu wa wilaya ya Kinondoni ili wapige madeal ndio tabia za wabunge aina ya KUBENEA
 
Iko tabia mbaya sana ya wabunge wengi kutengeneza kashfa ili kumng'oa mtumishi wa umma au kiongozi wa taasisi flani au kiongozi wa kisiasa kwa manufaa flani.

Iko tabia ya kutafuta au kutengeneza zengwe dhidi ya mtu flani ili tu watu flani waanze kufanya yao!!

Iko hii tabia ya wabunge kuleta kashfa bungeni baada ya kununuliwa.

Kwa upande wa Kinondoni namuona mbunge kubenea akijitahidi kwa hali na mali ili tu Makonda ang'olewe ukuu wa wilaya ya Kinondoni.

Sielewi jitihada hizi ni kwa manufaa ya nani nyuma ya pazia??

Kwa maoni yangu namuona mbunge tajwa kama mtu "much know" na mwenye papara,angekuwa ni mcheza mpira ni aina ya wachezaji wanaotimua mbio kubwa huku akiuacha mpira nyuma,I doubt kama atafanikiwa katika siasa za bongo,nahisi ataanza kuboa huko huko chamani kwake.
 
yeye Kubenea ndie alitakiwa wa kwanza kufukuzwa kwa kuiongopea dunia kwa miaka zaidi ya minane kupitia magazeti yake ya Mwanahalisi ya kuwa Lowasa na Sumaye ni mafisadi wa kutupwa nchi hii. lakini baada ya kulambishwa manoti akaikana ukweli na nafsi yake . Mungu yupo na malipo lazima yafanywe hapahapa duniani! hawezi kufanya watanzania ni mazuzu kiasi hicho

Utaendelea kushikiwa akili zako hadi lini?umefinyangwa kiasi kwamba huwezi hata kuitafuta kweli,umebaki kuwa mateka wa kudumu katika kokolo la wanasiasa uchwara wa CCM wenye hofu ya kupoteza maslahi yao.

Sawa,ngoja nikubaliane na wewe kwamba Richmond ni ya Lowassa,lakini ili kuweka kumbukumbu sawa nikukumbushe jambo moja:Wakati wa uwasilishaji wa Ripoti ya kamati teule iliyochunguza mkataba wa Richmond,mwenyekiti wa kamati hiyo aliliambia bunge letu tukufu kuwa katika uchunguzi wao kamati imegundua mambo mengi ambayo kama wakiyasema yote Serikali itaanguka.

Ili kuinusuru Serikali na anguko kuu,mwakyembe na wenzake waliamua kuuficha ukweli mchungu,ambao kwa maoni yao kama ungelisemwa bungeni Serikali nzima Isingeaminika Kabisa hivyo ingepelekea Serikali yote kuangushwa na Bunge lenyewe kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na Rais.

Je,kama Richmond ni ya Lowassa,kitisho cha kuanguka kwa serikali yote kilitoka wapi wakati Lowassa angeweza kuwajibishwa tu na Rais akateua Baraza jipya?

Kama kweli Richmond ni ya Lowassa,ilikuwaje mtu huyu muovu aendelee kuhofiwa na Rais kiasi cha kumfanyia kila aina ya mizengwe ili asifurukute kisiasa?

Hoja ya kuwa Lowassa akipewa nchi atalipiza kisasi ilitoka wapi kama kweli aliwajibika kihalali kutokana na makosa aliyoyafanya?

Taifa limewekwa chini ya konga la propaganda chafu kwa muda mrefu,ni wakati sasa wapenda haki tuungane kuudai ukweli uliofichwa na kamati teule ya Richmond.Hatuwezi kuendelea kuruhusu watu wachache waendelee kuwafanya wenzao kafara za kisiasa kwa maslahi yao binafsi.

Aliyeficha ukweli amekabidhiwa ofisi kuu ya sheria,tunamuomba sasa atoke hadhalani na lipoti nzima ya kamati teule ili tuweze kutoa hukumu kwa haki.Kama hilo ni gumu kwake,tunaomba aiongoze ofisi yake ilitendee haki Taifa kwa kumburuza mahakamani Mh.Lowassa ili akahukumiwe kutokana na makosa aliyoyafanya.
 
Unataka ikama ya maRC na maDC wewe ni kilaza wa kutupwa.

Kwani hujui idadi ya mikoa na wilaya Tanzania?

Idadi ni moja ya sehemu ya ikama kuna sifa na vigezo vya serikali vinavyowachagua hawa? Au ni kama kama mkwere anavyovua chupi au mwanae kuvalisha watu viatu. Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi. Mmeozesha nchi sasa mnakurupuka kutafuta sifa. Na wewe rudi Arusha tukufanyizie. Jingalao makonda mtamuondoa wenyewe mpende msipende au ataishia jela kama hajapopolewa mtaani
 
Utaendelea kushikiwa akili zako hadi lini?umefinyangwa kiasi kwamba huwezi hata kuitafuta kweli,umebaki kuwa mateka wa kudumu katika kokolo la wanasiasa uchwara wa CCM wenye hofu ya kupoteza maslahi yao.

Sawa,ngoja nikubaliane na wewe kwamba Richmond ni ya Lowassa,lakini ili kuweka kumbukumbu sawa nikukumbushe jambo moja:Wakati wa uwasilishaji wa Ripoti ya kamati teule iliyochunguza mkataba wa Richmond,mwenyekiti wa kamati hiyo aliliambia bunge letu tukufu kuwa katika uchunguzi wao kamati imegundua mambo mengi ambayo kama wakiyasema yote Serikali itaanguka.

Ili kuinusuru Serikali na anguko kuu,mwakyembe na wenzake waliamua kuuficha ukweli mchungu,ambao kwa maoni yao kama ungelisemwa bungeni Serikali nzima Isingeaminika Kabisa hivyo ingepelekea Serikali yote kuangushwa na Bunge lenyewe kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na Rais.

Je,kama Richmond ni ya Lowassa,kitisho cha kuanguka kwa serikali yote kilitoka wapi wakati Lowassa angeweza kuwajibishwa tu na Rais akateua Baraza jipya?

Kama kweli Richmond ni ya Lowassa,ilikuwaje mtu huyu muovu aendelee kuhofiwa na Rais kiasi cha kumfanyia kila aina ya mizengwe ili asifurukute kisiasa?

Hoja ya kuwa Lowassa akipewa nchi atalipiza kisasi ilitoka wapi kama kweli aliwajibika kihalali kutokana na makosa aliyoyafanya?

Taifa limewekwa chini ya konga la propaganda chafu kwa muda mrefu,ni wakati sasa wapenda haki tuungane kuudai ukweli uliofichwa na kamati teule ya Richmond.Hatuwezi kuendelea kuruhusu watu wachache waendelee kuwafanya wenzao kafara za kisiasa kwa maslahi yao binafsi.

Aliyeficha ukweli amekabidhiwa ofisi kuu ya sheria,tunamuomba sasa atoke hadhalani na lipoti nzima ya kamati teule ili tuweze kutoa hukumu kwa haki.Kama hilo ni gumu kwake,tunaomba aiongoze ofisi yake ilitendee haki Taifa kwa kumburuza mahakamani Mh.Lowassa ili akahukumiwe kutokana na makosa aliyoyafanya.
Wewe nawe ni kilaza mwingine ambaye hujafuatilia makala za kubenea baada ya sakata hili la Richmond.
 
Mtaomba poo mwaka huu lakini kwa Kubenea lazima mkae. Hii strategy ya Makonda kuomba msamaha kijanja
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Kubenea anamuandalia mazingira mtu wake awe mkuu wa wilaya ya Kinondoni ili wapige madeal ndio tabia za wabunge aina ya KUBENEA

Wewe kweli jingalao, mbunge wa upinzani anaweza kumuandalia mtu mazingira ya kuwa DC?
Ukweli ni kuwa hata kama mie ndio ningekuwa Mbunge, nisingeridhika kuwa na mkuu wa wilaya mwenye tuhuma za wizi wa simu za mkononi aka kibaka. Ni aibu kusimama nae kwa wananchi waliokupigia kura na kumtambulisha kuwa huyu ni mkuu wao wa wilaya huku ukiwa na taarifa kuwa wanajua historia yake.
Ndio maana hata yeye toka apewe cheo hicho kashindwa kupambana na vibaka wakwapuaji wa simu kwa vile fani ni moja.
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini asiungane na Makonda katika kupambana na huo ufisadi?

Kubenea hawezi kuungana na Makonda kupambana na ufisadi Kinondoni.
Siku hizi yeye na gazeti lake wanawapiga dodoki wote wenye kashfa za hivyo.
Afu sera za chadema katika kipindi hiki kinambana kwa sababu kupambana na ufisadi kunamshambulia aliyekuwa mgombea urais wao.
 
Iko tabia mbaya sana ya wabunge wengi kutengeneza kashfa ili kumng'oa mtumishi wa umma au kiongozi wa taasisi flani au kiongozi wa kisiasa kwa manufaa flani.

Iko tabia ya kutafuta au kutengeneza zengwe dhidi ya mtu flani ili tu watu flani waanze kufanya yao!!

Iko hii tabia ya wabunge kuleta kashfa bungeni baada ya kununuliwa.

Kwa upande wa Kinondoni namuona mbunge kubenea akijitahidi kwa hali na mali ili tu Makonda ang'olewe ukuu wa wilaya ya Kinondoni.

Sielewi jitihada hizi ni kwa manufaa ya nani nyuma ya pazia??

Unapata mawazo mengi bure...
Unataka kujua faida ya nani?

Basi anza kuangalia mwenendo huu.

Makonda haziivi na chadema, na ni adui wao namba mbili baada ya Nape.

Makonda haziivi kabisa na aliyekuwa mgombea urais chadema. Kama kuna watu waliomchafua na kumdhalilisha yule bwana kwa makavu live ni huyu Makonda. Huyu bwana alishabikia na kuhakikisha jamaa anakatwa.
Na baada ya kukatwa alifanya vitimbi vingi kuhakikisha hawi raisi.

Sasa hebu angalia ni nani swahiba na kiongozi wa kumsafisha Mgombea? Ni kubenea hivyo lazima akwaaane na waliokuwa wanamchafua...majeraha ya uchaguzi hayajaisha.

Vile vile ndoto za watu flani kuwa mawaziri zilizimwa ghafla baada ya lowassa kukatwa Oct 25.

Unga dots mwenyewe.
 
sijawahi kuona DC au RC akagombana na mbunge halafu DC akaendelea kubaki salama. mfano tu olesendeka na RC ndomba,
 
Back
Top Bottom