Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Siku zote alikuwa wapi? Magu anawahenyesha.
Makonda anatafuta ajira ya kudumu
Siku zote alikuwa wapi? Magu anawahenyesha.
Kubenea ni taplo la kisiasa. wenye akili tulisha achana nae. naomba mwenye CV yake aipost humu
Kwa sababu jamaa anagunga viatu vya watoto wa mkuu.
swissme
Iko tabia mbaya sana ya wabunge wengi kutengeneza kashfa ili kumng'oa mtumishi wa umma au kiongozi wa taasisi flani au kiongozi wa kisiasa kwa manufaa flani.
Iko tabia ya kutafuta au kutengeneza zengwe dhidi ya mtu flani ili tu watu flani waanze kufanya yao!!
Iko hii tabia ya wabunge kuleta kashfa bungeni baada ya kununuliwa.
Kwa upande wa Kinondoni namuona mbunge kubenea akijitahidi kwa hali na mali ili tu Makonda ang'olewe ukuu wa wilaya ya Kinondoni.
Sielewi jitihada hizi ni kwa manufaa ya nani nyuma ya pazia??
Huna taarifa kaa kimya!
Makonda alianza na hili sakata la barabara kabla Magufuli hajawa rais....Na Ukawa waliitumia kete hii eti Barabara za Magufuli hazina ubora.
Kubenea ni taplo la kisiasa. wenye akili tulisha achana nae. naomba mwenye CV yake aipost humu
Mtani upooo?
yeye Kubenea ndie alitakiwa wa kwanza kufukuzwa kwa kuiongopea dunia kwa miaka zaidi ya minane kupitia magazeti yake ya Mwanahalisi ya kuwa Lowasa na Sumaye ni mafisadi wa kutupwa nchi hii. lakini baada ya kulambishwa manoti akaikana ukweli na nafsi yake . Mungu yupo na malipo lazima yafanywe hapahapa duniani! hawezi kufanya watanzania ni mazuzu kiasi hicho
Viatu viatu viatu viatuuuuuuuuuuuuuu.Mtumikie ------ upate mkate wako
Kama Kubenea anatengeneza DUNIA YAKO, basi dunia yako ni ndogo kama ya SISIMIZI.
Sijui hata SOMALIA kama wanafahamu Kubenea ni nani. Sasa Kama Somalia hawajui, China na India sijui vipi?
Aliyasema sema hukumsikia na ndio maana huwezi kumuelewa kwa sababu sio msikivu na mfuatiliaji
magufuli anajiandaa kumtumbua jipu mwanaukawa mkuu!!
Jinga lao kazini