funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,412
- 31,917
Iko tabia mbaya sana ya wabunge wengi kutengeneza kashfa ili kumng'oa mtumishi wa umma au kiongozi wa taasisi flani au kiongozi wa kisiasa kwa manufaa flani.
Iko tabia ya kutafuta au kutengeneza zengwe dhidi ya mtu flani ili tu watu flani waanze kufanya yao!!
Iko hii tabia ya wabunge kuleta kashfa bungeni baada ya kununuliwa.
Kwa upande wa Kinondoni namuona mbunge kubenea akijitahidi kwa hali na mali ili tu Makonda ang'olewe ukuu wa wilaya ya Kinondoni.
Sielewi jitihada hizi ni kwa manufaa ya nani nyuma ya pazia??