mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
Ccm wote ni wachakachuwaji
CDM wote ni makuwadi
Ccm wote ni wachakachuwaji
Kama wewe ulivyo wa hovyooooooo
Hakushindi wewe mchungaji
Eeeeh karimanzira mwana wa mama upooooo!!!!
Mleta mada anapalilia kibarua lumumba.
Kazi alopewa Arusha Mjini kuipaisha ccm kashindwa.
Lema amempa stress
Njaa haina baunsa. Kubenea njaa kali. Ubungo poleni sana, tegemeeni mbinu za kizamani za kupambana na serikali badala ya kutatua matatizo ya wananchi. Kubenea ndio mbunge hovyo kuliko wote.
Wewe jinga mtumishi yupi wa umma unayemzungumzia? Kama maRC na maDC tupe ikama yao hapa. Halafu jihadhari unaelekea kwenye upumbavu huyo Makonda hana sifa ya kuwa DC ni shukrani za kijinga za CCM tu.Iko tabia mbaya sana ya wabunge wengi kutengeneza kashfa ili kumng'oa mtumishi wa umma au kiongozi wa taasisi flani au kiongozi wa kisiasa kwa manufaa flani.
Iko tabia ya kutafuta au kutengeneza zengwe dhidi ya mtu flani ili tu watu flani waanze kufanya yao!!
Iko hii tabia ya wabunge kuleta kashfa bungeni baada ya kununuliwa.
Kwa upande wa Kinondoni namuona mbunge kubenea akijitahidi kwa hali na mali ili tu Makonda ang'olewe ukuu wa wilaya ya Kinondoni.
Sielewi jitihada hizi ni kwa manufaa ya nani nyuma ya pazia??
Kubenea ni taplo la kisiasa. wenye akili tulisha achana nae. naomba mwenye CV yake aipost humu
Jana Makonda ameibua ufisadi wa barabara 13 wenye thamani ya bilioni 5
Wewe jinga mtumishi yupi wa umma unayemzungumzia? Kama maRC na maDC tupe ikama yao hapa. Halafu jihadhari unaelekea kwenye upumbavu huyo Makonda hana sifa ya kuwa DC ni shukrani za kijinga za CCM tu.
Kubenea CCM hamumuwezi wala serikali yenu haifui dafu. Bungeni ndiyo usiseme maana timu inaimarika mtaumbuka sana.