Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 835
Siyo sauti tu mkuu! Kuna mengi mno...hayo ya sauti tu ni kwa kuwa tunafundidhwa kwa kutumia biblia ambayo haina baadhi ya vitabu.Kwa mtazamo haya mambo ya imani ukitaka scientific proof kwa maana ya objective truth tutabishana mpaka kesho ila kinachotekea people just wondering n speculating on bible matters so ikitokea theory inayoconnect dots vizuri bhas itasambaa sana mana kuna theory mbalimbali za kuelezea matukio ya kwenye bible ambayo ikifatilia unaeza ukakubali kama journey to caanan,moses meet god etc ndo mana nikaanza mwanzo kuwa kuna mitazamo mbalimbali ambayo inatolewa na binadamu kama sisi angalizo langu ni kwamba dont put religion matters into scientific proof u'll go to hell coz religion is matter of beliefs hata kama unachoamini ni kweli au uwongo just believe tu n dnt question coz its a sign of not believin refer Noah aliamini sauti tu kwamba jenga safina kuna mvua itakuja lakin mvua haikuja kwa mda mfupi ilikuja baada ya miaka mia kadhaa kupita but he wa believing tu people laugh n mock him ila hakujali tu back to topic the book of enoch inasemekanan kiliandikwa na enoch mwenyewe ambaye alichukuliwa na mungu to heaven he was absolute holy n loyal to GOD
Kuna mengi ambayo hayapo kwenye hiyo biblia, mengi mno...amnapo nadhani yangekuwepo, basi dunia(watu, mitazamo na mengine mengi) isingekuwa kama hivi Leo.