Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,266
2,000
Hapa ndipo naiona raha ya Uislam. Kitabu kimoja tu kisicho na shaka ndani yake Qur'an.

Qur'an 2:

1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

2_1.gif

1. Alif Lam Mim. 1

2_2.gif

2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
 

Drat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
683
1,000
Mh kuna doubt kibao. Hapo ndio wale wa meditation tunafurahi cuz hatuna ma vitabu ni practical na tuna realize tunapokwenda kabla hatuja dondosha mwili.Dini zote zinazosema ukishakufa ndio utasubiri hukumu kama peponi au motoni zinatia shaka. Mungu amchome mtu ili apate faida gani?ili wakome kwa kutomtii yeye na sheria zake(it sound like people who wrote this had a plan to enslave and control others).
 

peedee dise

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
203
250
Hawa Wazungu Ni Devils. Tulifichwa,Tumefichwa,Tunafichwa Na Tutafichwa Vitu Vingi Sana Hasa Katika Dini Ya Ukristo Na Biblia. Sasa Mtu Anaanzaje Kuedit Biblia For Example?
That Simply Means Vile Ambavyo Ni Incosistent Au Against Their Interests Na Beliefs Basi Vitang'olewa Kwa Makusudi.
Kweli shetani ana hila sana
 

peedee dise

JF-Expert Member
Aug 11, 2019
203
250
Hapa ndipo naiona raha ya Uislam. Kitabu kimoja tu kisicho na shaka ndani yake Qur'an.
Qur'an 2:
1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEnZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
2_1.gif

1. Alif Lam Mim. 1
2_2.gif

2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
[/Ndo
Si kwamba mimi siielewi Historia,ninachokifahamu mimi ni kuwa kuna tatizo kubwa la watu wengi,hasa Protestants,kuhusianisha Matatizo ya Dola ya Kirumi na jinsi walivyowatesa Watu na Kanisa Katoliki,wanasahau kuwa hata Kanisa nalo lilionja joto la jiwe kwa kupingwa Vikali na Viongozi wa Kirumi,lilikuja kupata Kaunafuu kidogo Mwanzoni mwa Karne ya nne B.K.lkn mateso yaliendelea.Ndio maana unasikia hbr za Wafia dini wa Kikatoliki,jiulize Waliuawa na nani?.Any way kila mmoja achukue Hamsini zake,tutaonana mbele ya haki.
Ndo hivo ndugu yangu Mungu si yupo tutaona uko mbele
 

mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,721
2,000
Kwa
Mojawapo ya verse kutoka kwenye kitabu cha gospel of Thomas ni hii hapa mkuu:

1. And he said, "Whoever discovers the interpretation of these sayings will not taste death."

2. Jesus said, "Those who seek should not stop seeking until they find. When they find, they will be disturbed. When they are disturbed, they will marvel, and will reign over all. [And after they have reigned they will rest.]"
Kwa lugha ya butiama naweza kuzuia kifo?
 

Arien

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
11,032
2,000
Mwenye pdf file ya hichi kitabu,Injili ya Tomaso & Yuda anisaidie tafadhali....kikiwa cha Kiswahili kitapendeza zaidi
 

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
2,152
2,000
Mojawapo ya verse kutoka kwenye kitabu cha gospel of Thomas ni hii hapa mkuu:

1. And he said, "Whoever discovers the interpretation of these sayings will not taste death."

2. Jesus said, "Those who seek should not stop seeking until they find. When they find, they will be disturbed. When they are disturbed, they will marvel, and will reign over all. [And after they have reigned they will rest.]"
NaOmba PDF
 

ruralofficer

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,105
2,000
Wale waliokua wana compile vitabu mbalimbali kwenye bible waliogopa kukiweka kwakua ndio nabii aliyekua accuracy kwa asilimia mia moja kwakila kitu.Ukikiosoma kitabu chake the way he introduce himself you utashangaa sana I am one of those men that the lord has opened my eyes....
Alafu ndio nabii pekee ambae tunauhakika mwisho wake ulikua ni mzuri baada ya kuishi duniani unlike others.
 

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
11,812
2,000
Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana!
Dhehebu lipi lina kitabu hiki? achana kujiita mkatoliki kwani andika yako na lawama zako huwezi kuwa mkatoliki kabisa!
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,998
2,000
tatizo la watu wengi ni mareligious na sio spritual so kuna vitu hawataweza kuvijua maishani ! kuna biblia 6000 huku duniani .achana na hii moja ya mzungu aliyoiframe kwa manufaa yake hapa africa
Exactly kuna biblia ya kirusi inasema watu wakifa watenda maovu watapelekwa kwenye shimo la theluji ya baridi kali sana, tofauti na biblia za Africa kwamba wenye dhambi watapelekwa jehenamu kwenye moto wa milele muzungu inatuchezea kweli?
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,998
2,000
Hapa ndipo naiona raha ya Uislam. Kitabu kimoja tu kisicho na shaka ndani yake Qur'an.

Qur'an 2:

1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

2_1.gif

1. Alif Lam Mim. 1

2_2.gif

2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
Uislam pia ndio walewale ni dini ya mapokeo ina mapungufu mengi, hapa mimi nina uwezo wa kuorodhesha mapungufu kumi na nne fasta.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom