Kwanini kifo unatuchukulia wapendwa wetu?

Kila siku mtu akilala hufa alafu asbh hufufuka..
Sio mimi hayo ni maelezo ya wataalam wa saikoloji
 
....Tatizo anavizia mkuu.
OK, kama unaona anavizia, kunayo namna ya kumsogeza karibu na kuyapanga
.....Hapana, sina msongo mkuu!
Wewe unadhani kunae mwenye furaha kama marehemu?
Au je, unadhani kunae mwenye amani kama ambaye hajazaliwa bado?

Wote hao hatuwezi kushindana nao wala kujilinganisha nao. Tena kufikia tulizo la marehemu ni mpaka upitie hatua ya kufa kwanza
 
OK, kama unaona anavizia, kunayo namna ya kumsogeza karibu na kuyapanga Wewe unadhani kunae mwenye furaha kama marehemu?

....Mkuu tunajadili athari zinazoletwa na KIFO kwa viumbe vilivyopo na si Kinyume chake.
 
Kifo angekuwa jasiri asingekuwa anavizia watu wanaumwa wako hoi ndo ajitokeze, wala asingekuwa anasubiri watu wapate ajali mbaya ya kutojitambua ndipo ajitokeze, sasa kama ni mbabe si aje muda wowote kwann atuvizie tukiwa hoi hatujiwezi?

Binafsi usiku huwa nalala na sime pembeni sitaki masiara kabisa.
 
Ahari zinaeleweka kwa kila mtu. Kilichopo ni kuangalia namna ya kuziepuka kwa kugawa urithi kwa wapendwa wako wakati ukiwa mzima
 
....Ndio maana nimesema yeye ni mwoga asiye na uthubutu thabiti.
 
OK, kama unaona anavizia, kunayo namna ya kumsogeza karibu na kuyapanga Wewe unadhani kunae mwenye furaha kama marehemu?
Au je, unadhani kunae mwenye amani kama ambaye hajazaliwa bado?

Wote hao hatuwezi kushindana nao wala kujilinganisha nao. Tena kufikia tulizo la marehemu ni mpaka upitie hatua ya kufa kwanza
Mkuu nafikir huwa humezi dawa ukiugua ili akukaribie.
 
Ahari zinaeleweka kwa kila mtu. Kilichopo ni kuangalia namna ya kuziepuka kwa kugawa urithi kwa wapendwa wako wakati ukiwa mzima
....Sawa kwa hilo nakubaliana na wewe ila sio zile stori za aliye kufa na ambaye hajazaliwa sijui wanaraha!,
Hawa kimsingi wote hawapo na hawahusishwi na KIFO moja kwa moja.
 
Kwa watu wenye imani, kifo ni mlango tu wa kuingia maisha mapya ya milele!!!. Lakini mkuu nakupongeza kwa jinsi ulivyonena. Unaweza kuwa mtunzi mahiri.
 
Huyu jamaa (kifo) nampa TANO ya nguvu , anabalance maisha , kama sio yeye tungebanana sana na dunia haingetosha . Aje kwa njia ya Mungu na sio binadamu ninamkaribisha kama ninavyokaribisha Xmas au mwaka mpya
 
Kwa watu wenye imani, kifo ni mlango tu wa kuingia maisha mapya ya milele!!!. Lakini mkuu nakupongeza kwa jinsi ulivyonena. Unaweza kuwa mtunzi mahiri.
....Asante kwa pongezi, Imani ni nini?, hapa sijadili imani mkuu najadili uhalisia, naweza kuamini kifo ni mlango kumbe sivyo!,
Imani inatofautiana hivyo tuepuke kujadili Imani zetu badala yake tujadili uhalisia.
 
Mkuu nafikir huwa humezi dawa ukiugua ili akukaribie.
Dawa nameza maana tayari ninayo tamaa ndani yangu ya kutaka kuona ya wakati unaokuja hata kama ni dakika 2

Kifo kipo siku zote na nyakati zote hivyo sina haraka na kifo labda kije chenyewe

Haka kakamba kembamba ka uhai nilikoshikilia lazima nikashike vyema maana katika kuishi kunayo majaribio mengi ya kufurahisha tofauti na huko kwa kifo ambako hamna kazi yoyote wala kihifadhi kumbukumbu chochote mfano wa hiki nilicho nacho.
 
nikisikia kale kawimbo ka doctor remmy hasa kale kagitaa iasee nikiangalia wanagu naishiwa pose
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom