Kwanini kifo unatuchukulia wapendwa wetu?

Huyu jamaa (kifo) nampa TANO ya nguvu , anabalance maisha , kama sio yeye tungebanana sana na dunia haingetosha . Aje kwa njia ya Mungu na sio binadamu ninamkaribisha kama ninavyokaribisha Xmas au mwaka mpya
Mkuu hoja yako ni dhaifu, hata tuzaliane vipi hatuwezi kukosa pa kuishi, tuna technology za kutosha tukijaa duniani tunahamia sayari nyingine zipo za kutosha hazijakaliwa na mtu hata mmoja tangu dunia iwepo.
 
.....Sawa huo ni mtazamo wako.
 
....Sawa kwa hilo nakubaliana na wewe ila sio zile stori za aliye kufa na ambaye hajazaliwa sijui wanaraha!,
Hawa kimsingi wote hawapo na hawahusishwi na KIFO moja kwa moja.
Tafsiri ya raha ndio inakupa shida

Chukulia umelala saa 4 usiku ukaja kushtuka saa 1 asubuhi huku ikiwa hukuota ndoto yoyote utakuwa umexperience nini?
Sasa waliokufa ni zaidi ya hapo.
 
Dawa nameza maana tayari ninayo tamaa ndani yangu ya kutaka kuona ya wakati unaokuja hata kama ni dakika 2

Kifo kipo siku zote na nyakati zote hivyo sina haraka na kifo labda kije chenyewe

Haka kakamba kembamba ka uhai nilikoshikilia lazima nikashike vyema maana katika kuishi kunayo majaribio mengi ya kufurahisha tofauti na huko kwa kifo ambako hamna kazi yoyote wala kihifadhi kumbukumbu chochote mfano wa hiki nilicho nacho.
Kumbe akili unazo ila ulikuwa unajitoa ufahamu tu, safi sana.
 
fungua code mkuu
....Kila mwenye macho na Atazame, na kila mwenye masikio awe tayari kusikia chochote,
Baragumu tayari lipo mdomoni kwa yule aliye andaliwa kupuliza,
Ni wakati sahihi ndio unaosubiriwa, maandalizi yako tayari,
Na ilaaniwe siku ile aliyokuja duniani.
 
Mkuu hoja yako ni dhaifu, hata tuzaliane vipi hatuwezi kukosa pa kuishi, tuna technology za kutosha tukijaa duniani tunahamia sayari nyingine zipo za kutosha hazijakaliwa na mtu hata mmoja tangu dunia iwepo.
...Asante kwa kunisaidia
 
...Kwa pamoja tukilaani KIFO.
Mtake radhi ndugu yetu kifo! Hivi nikikuchonga hilo tumbo lote au nikakuvunja mgongo alafu uishi milele bila kufa utayaweza hayo mateso?

Kifo huja tu pale mateso yanapokuzidia,,, yeye aweza kuyanyamazisha maumivu na usiyakumbuke tena wa kuyaishi tena

Kifo huyuhuyu inasemekana kila kiumbe humwita kwa hisia kali pale anapokuwa kazidiwa na mateso
 
.....Yeye anaweza kuwa ndugu yako hapo hapo asiwe ndugu yangu,

Hapana KIFO haji pale maumivu yanapokuzidia, kuna watoto wachanga huzaliwa nao hufa! unawazungumziaje?

Mwisho umesema inasadikika, sitaki kujadili hisia za watu wengine namna wanavyo-ona mambo!.
 
Mpaka kuona mtoto kazaliwa akiwa mfu ujue mateso aliyoyapata kabla ya kufa ni makubwa au kuna kiungo kimeshindwa kusaport uhai wake
 
....Kwanini unapenda kujadili jambo ambalo huna uhakika nano?,

Unajuaje kama mtoto anapata mateso?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom