Kwanini kifo unatuchukulia wapendwa wetu?

Kwanini kifo unatuchukulia wapendwa wetu?

Tafsiri ya raha ndio inakupa shida

Chukulia umelala saa 4 usiku ukaja kushtuka saa 1 asubuhi huku ikiwa hukuota ndoto yoyote utakuwa umexperience nini?
Sasa waliokufa ni zaidi ya hapo.
...."Sasa waliokufa ni zaidi ya hapo", Inatosha tayari umejijibu
 
Hii mada zingine noma
Fikiri kihisia unavyopoteza kumbukumbu hisia wala mwanga wowote mbele yako ila kiroho sijui labda Mshana Jr atufungue kitu wakuu au sio?
 
....Asante kwa pongezi, Imani ni nini?, hapa sijadili imani mkuu najadili uhalisia, naweza kuamini kifo ni mlango kumbe sivyo!,
Imani inatofautiana hivyo tuepuke kujadili Imani zetu badala yake tujadili uhalisia.

Imani zote zinafundisha kuishi vizuri na binadamu. Watu walioshi vizuri wanafariki wakiwa na tabasamu kwa sababu wanauona mlango uliowazi na unao wakaribishaa. Anyway, Death makes the world go round - bila Kifo mambo yasinge songa mbele - old and sick die and new ones take their place to do new things. Hard to imagine what Life would be like without Death!
 
Ukiwa mwema mkamilifu Jehovah hatakuacha atakuchukua bila wewe kujua yeye ni mwaminifu wa ahadi zake zenye thaman sana
 
Imani zote zinafundisha kuishi vizuri na binadamu. Watu walioshi vizuri wanafariki wakiwa na tabasamu kwa sababu wanauona mlango uliowazi na unao wakaribishaa. Anyway, Death makes the world go round - bila Kifo mambo yasinge songa mbele - old and sick die and new ones take their place to do new things. Hard to imagine what Life would be like without Death!
.....Labda itoshe kusema KIFO kipo kwakua MUDA upo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom