chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Ukiwa unauza let say drugs, halafu pesa yk ukaenda kununulia friji au TV palé duka la LG mlimani city ukapewa na risiti halali Ya efd, bas ht kwa ilo dogo tu ushanasa Kwenye money laundaring, ht pesa ambayo umeiba kazini kwakoNaelewa kuwa utakatishaji fedha ni kitendo cha mtu kuficha chanzo cha fedha alizozipata kiharamu na kuzifanya zionekane zinetoka kwenye vyanzo halali..
Swali la kwanza: ili kitendo kiitwe utakatishaji frdha kinaanzia kiasi gani au operation kubwa kiasi gani.
Mfano nikiwa nafanya biashara ya dawa za kulevya na fedha zangu nikaziingiza kwenye casino zikaonena kama ni fedha za wacheza kamari, hapo bila shaka ni utakatishaji wa fedha
Je, kama ni mfanyakazi wa umma, akawa anadokoa kidogo kidogo kama laki 2 kwa mwezi hivi akawa anapeleka kwenye duka lake ili kufanya kipato chake cha ziada kionekane kinatokana na biashara yake ya duka, badala ya wizi, huyu naye akigundulika atapewa kesi ya utakayishaji fedha?
Swali jingine: Ni sababu gani inayofanya kesi hii watuhumiwa wake wanyimwe dhamana? Maana kesi ambazo hazina dhamana kisheria ni za makosa makubwa ambayo mtu kesi ambazo mtuhumiwa akikutwa na hatia anapewa adhabu kubwa kama vile kunyogwa, ila utakatishaji fedha adhabu yake sio kubwa na mtuhumiwa ananyimwa dhamana?
Mfano kuna kesi ya jamaa anaitwa Ndama mtoto wa ng'ombe inayohusu utakatishaji, adhabu yake ilikuwa ni miaka 5 jela, kesi ya kubaka ni miaka 30 jela na ina dhamana..
Kuna nini?
NDAMA Mtoto wa Ng'ombe ahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya mil. 200 - MICHUZI BLOG
Wadau wa sheria kams Petro E. Mselewa Stanley Mitchell II Retired na wengine mnaojua sheria
Ukiwa unauza let say drugs, halafu pesa yk ukaenda kununulia friji au TV palé duka la LG mlimani city ukapewa na risiti halali Ya efd, bas ht kwa ilo dogo tu ushanasa Kwenye money laundaring, ht pesa ambayo umeiba kazini kwako
So, kwa nini haina dhamana?
ili usiendelee na huo mchezo wako wa kutakatisha na kuharibu uchumi wa nchiSo, kwa nini haina dhamana?
Sasa kwa mantiki hii basi kesi zote zingekuwa hazina dhamana ili watu wasifanye makosa...mbona uhujumu uchumi, rushwa zina dhamana?ili usiendelee na huo mchezo wako wa kutakatisha na kuharibu uchumi wa nchi
Bado mantiki yake sijaiona, kama ni kokomesha basi wangekua wanatoa adhabu kali kwa wanaokutwa na hatia, ila anayekutwa na hatia anapewa kifungo cha miaka 5 tu, halafu kesi haina dhamana..Yaani mtu unaweza kukaa mahabusu muda mrefu ukiwa mtuhumiwa kuliko muda ambao ungekaa kama ungekutwa na kosaNi kwa sababu ya uzito wake mkuu.
Hii inalenga kukomesha kabisa swala hilo liogopwe.ni sawa na fedha bandia tofauti yake hizi ni halisi.
Basi mtu yoyote anayeiba hela basi atakuwa ana kosa ls kutakatisha fedha automatically..maana ataenda kuitumia hiyo matumizi ya kawaidaUkiwa unauza let say drugs, halafu pesa yk ukaenda kununulia friji au TV palé duka la LG mlimani city ukapewa na risiti halali Ya efd, bas ht kwa ilo dogo tu ushanasa Kwenye money laundaring, ht pesa ambayo umeiba kazini kwako
Basi mtu yoyote anayeiba hela basi atakuwa ana kosa ls kutakatisha fedha automatically..maana ataenda kuitumia hiyo matumizi ya kawaida
Shukrani, nitaisomaUkipata muda soma hii article hapa, huyu jamaa ana mawazo kama yako (of course na yangu pia) kwamba kuna unyanyasaji kwenye hizi case na kwamba hazijatatua tatizo ila government officials wanatumia kama karata yao kuwanyanyasa wananchi:-
Why the War on Money Laundering Should be Aborted
Ukiwa unauza let say drugs, halafu pesa yk ukaenda kununulia friji au TV palé duka la LG mlimani city ukapewa na risiti halali Ya efd, bas ht kwa ilo dogo tu ushanasa Kwenye money laundaring, ht pesa ambayo umeiba kazini kwako
Sababu ni kesi za/ya uhujumu uchumi ambayo ni miongoni mwa kesi sizizo na dhamana..!Ukiwa unauza let say drugs, halafu pesa yk ukaenda kununulia friji au TV palé duka la LG mlimani city ukapewa na risiti halali Ya efd, bas ht kwa ilo dogo tu ushanasa Kwenye money laundaring, ht pesa ambayo umeiba kazini kwako
Ela iliyopatikana Kwa zao la uhalifu, then ukaenda kununulia kitu halali, hapo tayari mtu hawezi jua kama ili Gari lenye kadi halisi limenunuliwa kwa hela Ya wizi au ya drugs, au kuiba serikalini, au Ya kutaperi, etc,Basi mtu yoyote anayeiba hela basi atakuwa ana kosa ls kutakatisha fedha automatically..maana ataenda kuitumia hiyo matumizi ya kawaida
Kesi za uhujumu uchumi zina dhamana, il tatizo mara nyingi dhamana zake zinahusisha ela keshi, au hati ya nyumba yenye thamani sawa ña kesi,,Sababu ni kesi za/ya uhujumu uchumi ambayo ni miongoni mwa kesi sizizo na dhamana..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay! Ngoja niendelee kusoma zaidi..! So chinchilla is wrong..?Kesi za uhujumu uchumi zina dhamana, il tatizo mara nyingi dhamana zake zinahusisha ela keshi, au hati ya nyumba yenye thamani sawa ña kesi,,
Kama kesi ina thamani ya millón 400, hapo lazima uache mahakamani milioni mia mbili keshi ndo upate dhamana
Navyojua sio kwamba hazina dhamana.. issue ni kuwa mahakama za chini (hakimu mkazi na zingine) hazina uwezo wa kutoa dhamana kama kesi inahusisha zaidi ya tsh bilion 1.So, kwa nini haina dhamana?
Miongoni mwa sheria tulizopandikiziwa na mabeberu na kusema kweli zipo kwa ajili ya kuumiza na kukomoa watu! Sheria kama hizi zilianzia nchi za Ulaya na Marekani ili kulinda mabenki na Taasisi zao za fedha.So, kwa nini haina dhamana?