Kwanini kesi ya utakatishaji fedha haina dhamana? Utakatishaji unaanzia wapi?

Kenya nasikia ina dhamana
Inawezekana chinchilla coat maana hakuna sababu ya msingi ya kufanya kesi hizo zisiwe na dhamana zaidi ya kukomoana. South Africa mpaka kesi za mauaji zina dhamana

Kuna yule jamaa ndugu yake Rostam Aziz alikua na kesi ya utakatishaji pesa kwa kukutwa na Dollar 9000 tu kwenye akaunti yake! Huyo ni mtu ambaye hua anafanya biashara za mabilioni! Kama asingejiongeza na kukiri kosa hivyo kuhukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni mia mbili angeweza kukaa mahabusu hata miaka mitano wakati kesi yake ikiendelea!

Na utaona siku wakija kurejesha dhamana kwenye kesi hizi za utakatishaji basi mashtaka mengi watakayokua wanafunguliwa watu yatakua hayahusishi hili shtaka maana watu hua wanabambikiwa makusudi ili tu wakae ndani!
 
Kweli, tunaona inavyotumika
 
Hujambo?

Kuna mtu anatumia avatar yako humu na anaandika thread za kipuuzi puuzi.

Kuhusu topic yetu, sina uhakika kama kesi zote tunazoziita ni Money Laundering zinakidhi vigezo sahihi vya kimataifa kuita hivyo. Isipokuwa naona ni kama inatumika kisiasa kwa wale tunaotaka kuwasotesha gerezani.

Nitaandika kidogo kwenye post nyingine juu ya jinsi ambavyo case inachukuliwa kuwa sensitive kiasi cha kutokuwa na dhamana, ingawa siyo kwa upande wa kisheria, maana mimi siyo mwanasheria.
Imetumika kisiasa tena...Erick Kabendera
Nasikia Membe naye atapewa kesi kama hii akizidi kuleta vurugu CCM
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom