Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Sidhani kama ni hivyo sio kwamba ameogopa kumuona nedim hapo akakumbuka mabaya aliyomfanyiausimsahau mke wa mr agha anajua kudekeza watoto wake hasa yule muhuni mpenda totozi jana alitaka kulia baada ya mr agha kumpatia nedim yule muuguzi kumbe kasha data.
Nahisi mke wa mr agah na mtoto wake wa kiume wanahusika na ugonjwa wa nedim