Kara Sevda: Mapenzi ya kituruki si mchezo

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,392
Reaction score
1,944
Nimekuwa mfuatiliaji wa tamthilia nyingi zinazorushwa na Azam two.
Nawapongeza sana.
Kwa sasa pamoja na nyinginezo tamthilia iliyopo ni Kara Sevda.

Sielewi mapenzi ya kituruki kwa mwanamke wa ndoa mara kadhaa kumtamkia mumewe kwamba hampendi na hapohapo ana mwanamme mwingine na mume anamjua. Na muda mwingi ni kulialia.

Kwa sisi waswahili kuna mapenzi kama hayo?
Kuna cha kujifunza?
 
Wale kina Emily Kodzjo na Kamal Soledele wanaigiza tu, hakuna mapenzi ya vile
 
Nimepotea njia 🚶🚶🚶

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Hii NI tamthiriya mbovu kuliko zote kutoka uturuki
Naunga Mkono hoja...pia tamthilia za Azam 2 nyingi miyeyusho tu....bora za Azam one huwa zinakua za kibabe sana kule.
 
Back
Top Bottom