gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,819
- 18,515
TEC hutumwa na nani?Umelogwa?
Hili jambo miaka na miaka tunajadili humu wewe tena unakuja nalo leo au umetumwa?
TEC hutumwa na nani?Umelogwa?
Hili jambo miaka na miaka tunajadili humu wewe tena unakuja nalo leo au umetumwa?
Siyo wadhaifu shida yao uswahili mwingi sana na kucheka cheka hovyo,nimeona tawala zote anzia ya Mzee Mwinyi (Mwenyezi Mungu amrehemu) ila awamu iliyozidisha ujinga na ya Kikwete.Na marais dhaifu huwa waislam tu
Mmeshaweka mbadala wa Bugando, KCMC, nk, nk ?Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?
Hizo zote ni pesa za serikaliMmeshaweka mbadala wa Bugando, KCMC, nk, nk ?
Bado wanaendelea kutoa huduma za jamii kwa umma ambazo ni jukumu la serikali
Kufanya nini?TEC hutumwa na nani?
Hii mou ishavunjwa?Sisi hatuitegemei serikali,Makanisa sasa yanamiliki mabank,je unafikiri nisehem ya makubaliano na serikali?
Serikali yetu bado aina uwezo wa kujenga hospital za rufaa.nchi nzima.Mfano Kanda ya Ziwa mpaka Leo Muhimbili yao ni Bungado Hospital (catholic) na kule Kilimanjaro/Arusha KCMC (lutheran) Ndanda Hopsital kule Kusini-jua kuwa kuna wagonjwa wanapatiwa Dawa Bure kila siku (wagonjwa wa TB,Kisukari,HIV,UKOMa,Kansa na watoto chini ya miaka 5) hii sio mfumo Kristo ila ni ukweli wa hali ya kiuchumi ya serikali yetu.KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya uchumi nchini kutomudu kuiwezesha serikali kutoa huduma za elimu na afya kwa kiwango bora.
Msingi mwingine wa makubaliano hayo ni makanisa kuhakikishiwa kuwa serikali itaweka mazingira mazuri kwao kutoa huduma za elimu na afya.
Makubaliano hayo yamegawanywa katika maeneo makubwa mawili, ambayo ni sekta ya elimu na afya na kila sekta ikiwa imetengenezewa bodi yake ndani ya mtandao wa makanisa kupitia CCT na TEC.
Kwa mfano, sehemu ya kwanza ya hati ya makubaliano hayo, kifungu cha kwanza, kinaeleza kuwa makanisa yataanzisha kamisheni ya uratibu wa utoaji huduma hizo.
Katika kifungu hicho cha kwanza, sehemu ‘a’ hati hiyo inaeleza kuwa jukumu la kamisheni hiyo ni kuandaa sera zinazohusiana na huduma za afya na elimu zinazotolewa na makanisa.
Kifungu kidogo cha nne, sehemu hiyo ya kwanza ya hati hiyo, kinaeleza kuwa kamisheni hiyo itakuwa ikiratibu na kusimamia matumizi ya fedha, mikopo kwa ajili ya kuboresha huduma za elimu na afya.
Hati hiyo pia inaeleza kuwa wajumbe wa kamisheni hiyo watatoka katika CCT na TEC na mashirika wafadhili na kwamba ni lazima shughuli zote ziendeshwe kwa mujibu wa sera na sheria za nchi.
Serikali kupitia hati hiyo pia imekubaliana na makanisa kuanzishwa kwa Mfuko wa Huduma za Kijamii ambayo ni mahsusi kwa ajili ya kupokea mikopo na misaada.
Pia kwa upande wa elimu, serikali ilikubali kutoa nafasi za masomo ya mafunzo wa ualimu kwa wanafunzi wa ualimu.
Awamu ya kikwete ndiyo iliyojenga barabara za lami nyingi kuliko tawala tatu zilizopita kwa ujumla,iliajiri kuliko mwinyi na mkapa,ilidahili wanafunzi wengi vyuo vikuu kuliko mkapa,ilipandisha mishahara kwa 80% na nyongeza kila mwaka kuliko mkapa,ilikuza uchumi kuliko mkapa,boresha huduma za afya kiasi safari za nje kufuata huduma zikapungua, watanzania wamekua matajiri kipindi cha jakaya,huo upuuzi,ujinga ni upi!?Siyo wadhaifu shida yao uswahili mwingi sana na kucheka cheka hovyo,nimeona tawala zote anzia ya Mzee Mwinyi (Mwenyezi Mungu amrehemu) ila awamu iliyozidisha ujinga na ya Kikwete.
Kama miaka 12 nyuma ulikuwemo humu wakati mada hizi zikipamba moto wadau walikuwa wamependekeza waislam nao wapeleke mapendekezo yao wapewe Mou!Hizo zote ni pesa za serikali
Ikivunjwa utasikia makeleleHii mou ishavunjwa?
zipo wapi hizo pesa za serikali?? Alafu kama mnaona.Wakristo wanapendelewa Handamaneni mdai MOU ivyunjwe! acheni lalamika kama watotoHizo zote ni pesa za serikali
Teh teh tehKANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU?
Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo.
Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya uchumi nchini kutomudu kuiwezesha serikali kutoa huduma za elimu na afya kwa kiwango bora.
Msingi mwingine wa makubaliano hayo ni makanisa kuhakikishiwa kuwa serikali itaweka mazingira mazuri kwao kutoa huduma za elimu na afya.
Makubaliano hayo yamegawanywa katika maeneo makubwa mawili, ambayo ni sekta ya elimu na afya na kila sekta ikiwa imetengenezewa bodi yake ndani ya mtandao wa makanisa kupitia CCT na TEC.
Kwa mfano, sehemu ya kwanza ya hati ya makubaliano hayo, kifungu cha kwanza, kinaeleza kuwa makanisa yataanzisha kamisheni ya uratibu wa utoaji huduma hizo.
Katika kifungu hicho cha kwanza, sehemu ‘a’ hati hiyo inaeleza kuwa jukumu la kamisheni hiyo ni kuandaa sera zinazohusiana na huduma za afya na elimu zinazotolewa na makanisa.
Kifungu kidogo cha nne, sehemu hiyo ya kwanza ya hati hiyo, kinaeleza kuwa kamisheni hiyo itakuwa ikiratibu na kusimamia matumizi ya fedha, mikopo kwa ajili ya kuboresha huduma za elimu na afya.
Hati hiyo pia inaeleza kuwa wajumbe wa kamisheni hiyo watatoka katika CCT na TEC na mashirika wafadhili na kwamba ni lazima shughuli zote ziendeshwe kwa mujibu wa sera na sheria za nchi.
Serikali kupitia hati hiyo pia imekubaliana na makanisa kuanzishwa kwa Mfuko wa Huduma za Kijamii ambayo ni mahsusi kwa ajili ya kupokea mikopo na misaada.
Pia kwa upande wa elimu, serikali ilikubali kutoa nafasi za masomo ya mafunzo wa ualimu kwa wanafunzi wa ualimu.
MOU inaitaka serikali isejenge miundombinu kinzani kwenye maeneo ambayo miundombinu (shule/hospital) ya kanisa ipo,nchi ya kijinga sana hiiMmeshaweka mbadala wa Bugando, KCMC, nk, nk ?
Bado wanaendelea kutoa huduma za jamii kwa umma ambazo ni jukumu la serikali
Kwa sababu muislam
Then iuvunje huo mkataba inasubiri nini?Serekali hivi sasa inaweza kufanya yote hayo
Huyu ni mjinga tu msipoteze muda nae,MOU imeamka baada ya maaskofu kukemea ukandamizaji.Kama ameumia sana aiambie serikali ivunje hio MUOUmelogwa?
Hili jambo miaka na miaka tunajadili humu wewe tena unakuja nalo leo au umetumwa?
CHAWA, jibu swali..Hizo zote ni pesa za serikali
Unaweza kutuwekea hapa huo mkataba tukajikumbusha?MOU inaitaka serikali isejenge miundombinu kinzani kwenye maeneo ambayo miundombinu (shule/hospital) ya kanisa ipo,nchi ya kijinga sana hii
🚮MOU inaitaka serikali isejenge miundombinu kinzani kwenye maeneo ambayo miundombinu (shule/hospital) ya kanisa ipo,nchi ya kijinga sana hii