Kwanini Kanda ya Ziwa hakuna Uwanja wa ndege wa Kimataifa?

Ikiwa ni Kanda kubwa kwa uchumi na idadi ya watu. Kwa takwimu za juzi katika mikoa kumi inayozalisha Pato kubwa la taifa. Kanda ya Ziwa ndiyo imetoa mikoa mingi zaidi.

Imetoa mikoa mitatu mkoa wa Mwanza, Geita na Shinyanga. Hii hufanya 3\10 ni kama asilia 33 ya pato la taifa hili hutoka Kanda ya ziwa.

Inakuaje Zanzibar, Kilimanjaro na Songwe Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa lakini Mwanza hakuna. Dodoma unajengwa pale Msalato.

Mwanza ambako ni kitovu cha Kanda ya Ziwa kunasitahili kuwa na uwanja wa ndege wa Kimataifa.

Ni wakati Kanda ya Ziwa kuamka
Ulishindwa kutua na ndege yako mkuu ulivyokuja lake zone.
Pia hizi ligi za ukanda na ukabila udini ama ushindani wa Aina yoyote Ile unataka kuligawa Taifa letu please peleka Kenya. Sote na pote ni Tanzania.
So ukiwepo Kilimanjaro,dar ,songwe ama Zenj pote hapo ni nyumbani mkuu sio lazima kuwepo kwa nyumbani kwenu kwa kaya yenu ndo uridhike.
Yaani popote mie natua.
Cheki majimbo ama Kanda mnazopigia kelele na cdm ama ukusini,uleki zone kinachotokea Ethiopia
 
Acheni ubinafsi. Unataka wengine nao waanze kudai SGR? Si kila kitu lazima mpate. Wengine hawana hata barabara za lami mjini. Kwani ndege hazifiki?
 
Kanda ya ziwa ina Bukoba airport (underutilized), Kigoma airport (underutilized), Chato International airport (underutilized), Mwanza International airport soon to be international airport (fairly utilized) and Mara airport(U/C). Sasa kama hizo facilities zipo na most of them hazitumiki as abiria hawatoshi, unataka mashirika ya ndege yatue huko kwa viboko? Eboo hebu tuache? Na wenyeji wa Morogoro, Pwani na Tanga wasemaje nao?

CC: The best 007
 
Watu wa kanda ya Ziwa ni WAPUMBAVU SANA.
Kusini wana uwanja wa ndege wa KIMATAIFA? KIGOMA HATA BARABARA HAKUNA ACHILIA MAJI SAFI LAKINI MTU ANAPAZA SAUTI ETI WAPATIWE UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA.
 
Hii nchi ilikuwa inaenda kujenga matabaka ya ajabu! Inakaa watu walikuwa wanaenda kudai wajazwe mapesa kupanda ndege!
 
Ikiwa ni Kanda kubwa kwa uchumi na idadi ya watu. Kwa takwimu za juzi katika mikoa kumi inayozalisha Pato kubwa la taifa. Kanda ya Ziwa ndiyo imetoa mikoa mingi zaidi.

Imetoa mikoa mitatu mkoa wa Mwanza, Geita na Shinyanga. Hii hufanya 3\10 ni kama asilia 33 ya pato la taifa hili hutoka Kanda ya ziwa.

Inakuaje Zanzibar, Kilimanjaro na Songwe Kuna viwanja vya ndege vya kimataifa lakini Mwanza hakuna. Dodoma unajengwa pale Msalato.

Mwanza ambako ni kitovu cha Kanda ya Ziwa kunasitahili kuwa na uwanja wa ndege wa Kimataifa.

Ni wakati Kanda ya Ziwa kuamka

kanda ya ziwa hipi ! kwani mwanza hipo kanda ya bahari
 
Ulishindwa kutua na ndege yako mkuu ulivyokuja lake zone.
Pia hizi ligi za ukanda na ukabila udini ama ushindani wa Aina yoyote Ile unataka kuligawa Taifa letu please peleka Kenya. Sote na pote ni Tanzania.
So ukiwepo Kilimanjaro,dar ,songwe ama Zenj pote hapo ni nyumbani mkuu sio lazima kuwepo kwa nyumbani kwenu kwa kaya yenu ndo uridhike.
Yaani popote mie natua.
Cheki majimbo ama Kanda mnazopigia kelele na cdm ama ukusini,uleki zone kinachotokea Ethiopia
Mwendazake ndiyo muanzilishi wa hii ligi.

Tulia tutekeleze alicho kiasisi mwendazake.
 
Kanda ya ziwa ina Bukoba airport (underutilized), Kigoma airport (underutilized), Chato International airport (underutilized), Mwanza International airport soon to be international airport (fairly utilized) and Mara airport(U/C). Sasa kama hizo facilities zipo na most of them hazitumiki as abiria hawatoshi, unataka mashirika ya ndege yatue huko kwa viboko? Eboo hebu tuache? Na wenyeji wa Morogoro, Pwani na Tanga wasemaje nao?

CC: The best 007
Nashauri adhabu ya viboko irejeshwe mashuleni mkuu itatuepusha na haya mambo
 
Kanda ya ziwa ina Bukoba airport (underutilized), Kigoma airport (underutilized), Chato International airport (underutilized), Mwanza International airport soon to be international airport (fairly utilized) and Mara airport(U/C). Sasa kama hizo facilities zipo na most of them hazitumiki as abiria hawatoshi, unataka mashirika ya ndege yatue huko kwa viboko? Eboo hebu tuache? Na wenyeji wa Morogoro, Pwani na Tanga wasemaje nao?

CC: The best 007
Mbegu alizopanda jiwe ndiyo sasa zimeanza kuota kwa afya tele
 
niambie kwanza sifa za international airport, ndio nitafakari kama kanda ya ziwa hakuna international airport
 
Back
Top Bottom