Kanda ya Ziwa- Viwanja vya Kimataifa vya dege siyo sare ya mgambo kwamba kila aliyehudhuria mafunzo atapewa. Au, kwa sababu mlipewa mbuga ya wanyama artificial mkafikiri na viwanja vya ndege navyo vinatolewa kikanda?Kanda ya ziwa ina Bukoba airport (underutilized), Kigoma airport (underutilized), Chato International airport (underutilized), Mwanza International airport soon to be international airport (fairly utilized) and Mara airport(U/C). Sasa kama hizo facilities zipo na most of them hazitumiki as abiria hawatoshi, unataka mashirika ya ndege yatue huko kwa viboko? Eboo hebu tuache? Na wenyeji wa Morogoro, Pwani na Tanga wasemaje nao?
CC: The best 007