Hilo si jamii forums tu bali watanzania wote hawajui mkataba wa muungano na yepi mambo si ya muungano na limitation za mamlaka ya raisi wa JMT na raisi wa ZNZ. tatizo nilichogundua hapa watu wanajifanya wajuaji lakini vichwani hamna kitu na wengie wao wanaishia kutoa maneno ya kejeli kwani huo ndiyo mwisho wa kufikiria kwao na njia pekee ya kutojulikana weakness yao ni kuaza kutoa maneno ya kejeli na matusi.Inaonesha kiasi gani Wana JF mlivyo washamba hivi inaamana hamjui kama Wizara ya Mambo ya ndani , Wizara ya Ulinzi na Wizara ya muungano na Mazingira ni Wizara za Muungano? Kwa mujibu wa Katiba Wizara zote za Muungano Rais wa Jamhuri ya Muungano anamamlaka ya kuteua Mawaziri, Makatibu Wakuu hadi Makamishina acheni Ushamba nyie CHADEMA
Kama haukusoma civic utauliza ujinga kama huuuu ,kaombe watoto wa A level wakuelezee usile muda wetu hapaNimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.
Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
Huu sasa uchochezi!koloni haliwezi kuteua kiongozi yeyote wa dola
Ukweli mchungu kaka lkn huo ni muongozo kutoka katiba yetu ya jamuhuri ya muunganoSi sahihi kuleta majibu yenye ukakasi jukwaani. koloni ni nani na mkoloni nani
kaka upo sahihi asilimia 100 ukweli mchunguKMKM ni kikundi cha kuzuia magendo ya karafuu
Kwa huku bara hao ni Sawa na Sungusungu wanaochoma nyavu za uvuvi haramu!
Hao ndio Rais wa Znz kapewa Mamlaka ya kuwateua ili wamzuge
CUF walipigania sana Zanzibar iwe na Bendera yake na nyimbo yake wakajua washakua Taifa wakasahu Hata Simba ina bendera yake na nyimbo yake ya Kidedea lakin sio Nchi!Residual power ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Zanzibar haina jeshi na wala si dola.
Sababu kuu ni kuwa Wizara mambo ya ndani na Ulizi ni mambo ya Muungano.Kama kweli ni amri jeshi mkuu ulizia Mgogoro uliotaka kutokea katika vita vyua unganda...Na kwa nini Raisi wa Zanzibar ndiyo anakagua gwarinde na kupigiwa mizinga sherehe za za mapinduzi ilhali wa Muungano yupo Uwanjani...Residual power ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Zanzibar haina jeshi na wala si dola.
hivi nchi ikiwa inaamuliwa kila jambo lake na nchi nyingine kiswahili sahii inaitwaje hiyo nchi ?Si sahihi kuleta majibu yenye ukakasi jukwaani. koloni ni nani na mkoloni nani
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.
Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
Mbona unaongea Pumba wewe.. hebu nyamaza kimya kenge wewe. wimbo wa Taifa wa Zanzibar upo hata hiyo CUF haijulikana kama kuna siku itakuja kuzaliwa. hebu nenda kasome vizuri kwanza ndiyo uje hapa na upumbavu wako
Hahahaha kama nyinyi mlivyozaliwa kuwa watumwa na mkiulzwa kama pipi znz pale.Nakuambia tena inaonyesha uelewa wako ndi mdogo sana angalia tafuta historia ya wimbo wa Taifa wa znz naona umekariri..Hata Zanzibar ilikuwa Nchi kabla ya kuzaliwa Seif lakin Leo analilia Zanzibar iwe Nchi!
Eti wimbo wa Taifa wa Zanzibar! Utakuaje na Wimbo wa Taifa wa Zanzibar wakati Sio Taifa?
Tulia utawaliwe weeee!
Katoka Mwarabu akaingia Mwingereza alipochoka Mwingereza akamuachia Mtanganyika na akichoka Mtanganyika atamuachia Mmakonde wa Msumbiji!
Nyie Mmezaliwa kutawaliwa tulieni
Hahahaha kama nyinyi mlivyozaliwa kuwa watumwa na mkiulzwa kama pipi znz pale.Nakuambia tena inaonyesha uelewa wako ndi mdogo sana angalia tafuta historia ya wimbo wa Taifa wa znz naona umekariri..