Tetesi: Kwanini Kamati ya maafa imevunjwa wakati haijamaliza kazi

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Nawaza tuu , sababu ya kamati ya maafa kuvunjwa wakati michango ya wadau walio ahidi haijamalizika kukusanywa?

Kuna ubaya gani kama kamati ingeendelea kukusanya na kuratibu shughli zote za wahanga?

Je nani ataendelea kuratibu shughli zote zinazo endelea mkoani kagera kwa ajili ya wahanga wa tetemeko?
 
Naunga mkono hoja ya kuvunja kamati, kwa sababu kamati yenyewe inaona pesa aziendi kwa walegwa zinakarabati sekondali ya ccm na mengineyo waasilika wamenyimwa msaada. Kamati ikiendelea kuwepo itatubana kufanya mambo yetu
 
Ofisi ya maafa ipo chini ya pm sema wanaishi dar, wanatakiwa kuchukua jukumu lao na kuhamia site kuhakikisha kazi zinakamilika. Hatuhitaji kuwa na kamati nyingi zisizo na maana zaidi kuiba pesa ya wahanga.
 
Nawaza tuu , sababu ya kamati ya maafa kuvunjwa wakati michango ya wadau walio ahidi haijamalizika kukusanywa?

Kuna ubaya gani kama kamati ingeendelea kukusanya na kuratibu shughli zote za wahanga?

Je nani ataendelea kuratibu shughli zote zinazo endelea mkoani kagera kwa ajili ya wahanga wa tetemeko?
Bawacha nenda karudie hotuba ya Rais utakuta majibu..
 
Ofisi ya maafa ipo chini ya pm sema wanaishi dar, wanatakiwa kuchukua jukumu lao na kuhamia site kuhakikisha kazi zinakamilika. Hatuhitaji kuwa na kamati nyingi zisizo na maana zaidi kuiba pesa ya wahanga.
Na hicho ndicho alicho sema Mh Rais
 
Back
Top Bottom