Mkuu umeongea vzr sana,Jana tu nimepeleka mgonjwa kituo cha afya mgonjwa anaumwa tumbo wakampima mkojo na maleria wakakuta Hana shida mganga akahitumisha kuwa mgonjwa Hana anachoumwa,nikashindwa kuwaelewa kabisa kwa akili yangu ya kawaida mm sio mganga nikawaza swala ni tumbo kuuma si wangempima hata choo kikubwa ili kuchunguza zaidi.Uamuzi ni wako....kupanga ni kuchagua....kesho ya watoto wetu wa kitanzania ipo mikononi mwetu.... Hatuwezi kutatua matatizo ya karne ya 21+ kwa kutumia elimu ya karne ya 19- .
leo hata mtu ukiugua unawaza kuwa huyu mtu anayekutibu anajua anachofanya kweli, ukienda kwenye engineer ndio kabisa unaona kubahatisha kwingi, kwenye siasa ndio kabisa mvurugano, waalimu ndio kichekesho, polisi siwezi kusema yaani kila sehemu ni mtifuano...taifa linakuwa la hovyo sana..
Tofautisha kati ya kudharau na kuwaogopa wasomi. Yule ana inferiroty complex, hajiamini anaogopa wasomi halafu anawaonea gere, anawaonea wivu sema hana uwezo angeshajiendeleza, ana kichwa cha panzi. Mi nawashangaa waliomchagua wana akili ya aina gani. Maeneo mengi nchi hii std VII utaingiaje bungeni? Wasukuma wengi bado wako nyuma sana kielimu ndio ametokea hapo.Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.
Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.
Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.
Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.
Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.
Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.
Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?
Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
we umesoma elimu ya wapi, we ndiyo wa hovyo tena mpumbavu. Wapo watu wengi wamesoma elimu hii hii na ndiyo wataalam wanaoendesha hi nchi. we km ni wa hovyo siyo kila mtu yuko km wewe. Mtu hujatoka nje ya nchi tuseme umejaribu elimu sehemu nyingine unakuja kubwabwaja tu hapa uonekane nawe unajua kumbe bongolala flani tu. Sisi tuliosoma hapa ndani na kule ulaya utuulize tofauti ni nini. elimu ndiyo hii hii, hakuna elimu ya bongo. Km unasoma uhasibu utasoma Frankwood ile ile. km umekata tamaa wewe kaa kimya ila usije tu kupotosha watoto wako maana utapata laana. SIPENDI WATU WA HOVYO KM WEWE BASI TUMsukuma anaponda elimu ya kibongo ila hapondi unachokiandika maana vyote hivo havijatengenezwa na elimu hii ya kukariri matundu ya panzi.
ni ukweli ulio uchi elimu ya kibongo ni ya hovyo sana, hawa tunaowaita wasomi ndo wametufikisha hapa kama taifa kwa zaidi ya miaka 50. Msomi wa kibongo hana uelewa wowte na hawezi kubuni chochote zaidi zaidi kukariri tu yale madude ya kwenye karatasi.. hii elimu yetu imelisadia nn taifa hili?
Namuunga mkono msukuma kwasababu yeye hajasoma lkn ni tajiri,je ww msomi una nini cha maana zaidi ya kende?
SASA MPUMBAVU KM WEWE USIYEJUA TOFAUTI YA UTAJIRI NA ELIMU UNA MAANA HATA KUWEPO DUNIANI? WE NI HASARA KWA TAIFAMsukuma anaponda elimu ya kibongo ila hapondi unachokiandika maana vyote hivo havijatengenezwa na elimu hii ya kukariri matundu ya panzi.
ni ukweli ulio uchi elimu ya kibongo ni ya hovyo sana, hawa tunaowaita wasomi ndo wametufikisha hapa kama taifa kwa zaidi ya miaka 50. Msomi wa kibongo hana uelewa wowte na hawezi kubuni chochote zaidi zaidi kukariri tu yale madude ya kwenye karatasi.. hii elimu yetu imelisadia nn taifa hili?
Namuunga mkono msukuma kwasababu yeye hajasoma lkn ni tajiri,je ww msomi una nini cha maana zaidi ya kende?
Dah...naona una gonga nyundo pale pale kwenye mshonoMsukuma anaponda elimu ya kibongo ila hapondi unachokiandika maana vyote hivo havijatengenezwa na elimu hii ya kukariri matundu ya panzi.
ni ukweli ulio uchi elimu ya kibongo ni ya hovyo sana, hawa tunaowaita wasomi ndo wametufikisha hapa kama taifa kwa zaidi ya miaka 50. Msomi wa kibongo hana uelewa wowte na hawezi kubuni chochote zaidi zaidi kukariri tu yale madude ya kwenye karatasi.. hii elimu yetu imelisadia nn taifa hili?
Namuunga mkono msukuma kwasababu yeye hajasoma lkn ni tajiri,je ww msomi una nini cha maana zaidi ya kende?
Kwani we unaonaje....!?kwa hiyo hawa maprofesa na madokta wasomi ni hopeless?
naona fresh tuKwani we unaonaje....!?
Nyanda kinehe wabhu nkali shinisho?? Ninga ngwanhana shi! Unyerile!Ole ntumbafu neyo!!! Shenji e'be!!! Nyanebe! Nyanoko! Lushindo lwa mva!!!
Ole nsajishi neyo!! Nyanoko kuko!!!! Thobhanoko!!!! Buyenzegele....jorowe mkubwa....ole jiji gete obebe! Shenji sana!!! Tumbafu!!! Peje!! dindi!!Nyanda kinehe wabhu nkali shinisho?? Ninga ngwanhana shi! Unyerile!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.
Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.
Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.
Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.
Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.
Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.
Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?
Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Frankly speaking mimi niko mining sekta , wataalamu wetu yaani Mining engeneers, etc ni weupe once wanapoajiriwa mpaka wapegwe msasa na hao exparts from Australia, canada and South Africa ...Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.
Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.
Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.
Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.
Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.
Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.
Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?
Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Waliomchagua ni watu wa mko gan vile?Anawakilisha waliomchagua, yeye ni kioo halisi cha waliomchagua.
Umeandika vizuri sana lakini sentensi ya mwisho ndiyo umeteleza. Tatizo la watanzania wengi ni kuona kuwa mafanikio ya usomi ni kuwa na ajira ya fedha nyingi i.e. utajiri! Kwa taarifa yako usomi ni kile mtu anachoifanyia dunia (hili umeelezea vizuri mwanzoni) na siyo kile msomi alichonacho. Unaweza kuwa tajiri kama Musukuma lakini ukaharibu nchi kwa mawazo na matendo yako.Msukuma anaponda elimu ya kibongo ila hapondi unachokiandika maana vyote hivo havijatengenezwa na elimu hii ya kukariri matundu ya panzi.
ni ukweli ulio uchi elimu ya kibongo ni ya hovyo sana, hawa tunaowaita wasomi ndo wametufikisha hapa kama taifa kwa zaidi ya miaka 50. Msomi wa kibongo hana uelewa wowte na hawezi kubuni chochote zaidi zaidi kukariri tu yale madude ya kwenye karatasi.. hii elimu yetu imelisadia nn taifa hili?
Namuunga mkono msukuma kwasababu yeye hajasoma lkn ni tajiri,je ww msomi una nini cha maana zaidi ya kende?
Hapo umewazungumzia wanasayansi, sio wasomi!Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.
Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.
Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.
Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.
Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.
Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.
Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?
Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Kwani hao wasomi wana lipi la maana!Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.