Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Na wewe ni msomi ety?
 
Wanamdekeza, ajitokeze msomi mmoja amjibu aache kudharau wasomi, la sivyo apigwe pin, amezidi sana kudharau wasomi wakati yuko bungeni kwa kazi zinazofanywa na wasomi
Nani mchumi mzuri kati ya PhD dr mwigulu nchemba na darasa la saba dr msukuma?

Tuwe wakweli
 
Toka nizaliwe sijawahi tibiwa hospital nikapona ila nikila mitishamba napona chaaap

Na ndio mana hata wasomi wa afya mwisho wa siku tunakutana nao kwa mganga wa kienyeji wasomi wa bungeni wote wanaamini mganga na sio elimu zao
Elimu bila hela ni kelele tu
 
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Kwa sababu wengi wa wanaojiita wasomi ni wapuuzi tuu
 
Sasa kama yeye mwenyewe ni lasaba c alafu eti ni PhD "holoda" unadhani usomi wa Tanzania unaheshima tena?
Alafu anakaa na kuchangia hoja na wasomi, posho wanapewa sawa, kwanini dharau isiwepo, kweli mjini mipango.
 
Frankly speaking mimi niko mining sekta , wataalamu wetu yaani Mining engeneers, etc ni weupe once wanapoajiriwa mpaka wapegwe msasa na hao exparts from Australia, canada and South Africa ...
Hiyo mbona ni kawaida!..shuleni wanapata knowledge kazini wanahitaji skills,
Knowledge ya shule inasaidia kumaster skills kwa haraka so sioni tatizo,
Hata hao unaona waona Bora hawakumaliza chuo wakajua hapo hapo...wamejifunza kazini.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Elimu iheshimiwe kwa kweli, ndio kitu pekee kitatupa maendeleo, ni mara chache sana kumkuta mtu mwenye good grades akiponda elimu,
Sio sahihi kupima umuhimu wa elimu kwa fedha mtu anazomiliki, watu wengine ni majambazi ndo utajiri wao ,
ELIMU ELIMU ELIMU
 
Tatizo la nchi hii Sio Elimu mbovu ni ujinga wa Asili kuwa na akili na kuishi maisha Makubwa sio lazima uwe msomi , piteni vyuoni muone Maisha ya wanachuo na walimu wao.
 
Siasa za kibongo bongo na hii katiba yetu ya 1977 inampa ugumu wa kuyaishi maisha ya kisiasa msomi yoyote yule iwe humo bungeni au ktk muhimili wowote ule.
 
Tofautisha kati ya kudharau na kuwaogopa wasomi. Yule ana inferiroty complex, hajiamini anaogopa wasomi halafu anawaonea gere, anawaonea wivu sema hana uwezo angeshajiendeleza, ana kichwa cha panzi. Mi nawashangaa waliomchagua wana akili ya aina gani. Maeneo mengi nchi hii std VII utaingiaje bungeni? Wasukuma wengi bado wako nyuma sana kielimu ndio ametokea hapo.
Nakubaliana na wewe mkuu. Huu ugonjwa wanao wengi sana ambao hawafaulu vizur kielimu. Mm Nina jamaa yangu fom foo anapenda sana thought race.
 
Tunatakiwa kutenganisha kati ya Akili na Elimu...
Nadhani wengi tunachanganya hizi mambo mbili
Niko pamoja na Msukuma
Hawa tunaowaita wasomi ni kwasababu wamejua kukariri wingi wa Madarasa yaliyobuniwa na mtu mmoja mwenye Akili kubwa.
Then what function here? Utaalamu au akili? . Mana wasomi ni wataalamu hawatumii akili zao pale. Kwa nn ukiumwa usijitibie Kwan akili huna?
 
Tatizo la nchi hii Sio Elimu mbovu ni ujinga wa Asili kuwa na akili na kuishi maisha Makubwa sio lazima uwe msomi , piteni vyuoni muone Maisha ya wanachuo na walimu wao.
Naungana na wewe.. but all others need an exposures! Kwan usiandae darasa hili ukawasaidia vijana wa watu kuwapa mbinu ambaxo usomi wao hautadhalilika. Ukimwambia mtoto wa mtu sasahiv "acha aibu ingia mtaani jichanganye" ni, in my humble conclusion unafanya makosa.. Andaa thread ya kutoa codes
 
Nani mchumi mzuri kati ya PhD dr mwigulu nchemba na darasa la saba dr msukuma?

Tuwe wakweli
Kila kitu ili kiende bila ya shida kina nadharia ambaxo zitakifanya kiendeshwe kisayansi. Msukuma Leo mnamshangilia mpeni mamlak makubwa hapo wizara ya fedha ili mkirudi hapa tuongee lugha moja
 
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Yuko sahihi,wasomi wasioutumia usomi wao vyema wanastahili kupuuzwa.
 
Msukuma anaponda elimu ya kibongo ila hapondi unachokiandika maana vyote hivo havijatengenezwa na elimu hii ya kukariri matundu ya panzi.

ni ukweli ulio uchi elimu ya kibongo ni ya hovyo sana, hawa tunaowaita wasomi ndo wametufikisha hapa kama taifa kwa zaidi ya miaka 50. Msomi wa kibongo hana uelewa wowte na hawezi kubuni chochote zaidi zaidi kukariri tu yale madude ya kwenye karatasi.. hii elimu yetu imelisadia nn taifa hili?

Namuunga mkono msukuma kwasababu yeye hajasoma lkn ni tajiri,je ww msomi una nini cha maana zaidi ya kende?
Kwani kuna uhusiano Kati ya utajiri na usomi?
 
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Sawa lakini SGR inajengwa na wasomi wa uturuki na china
 
Anawapa changamoto wasomi wafanye mambo kulingana na usomi wao. Hivyo msomi anayetenda mambo ya hovyo na ya kuliingiza taifa kwenye matatizo makubwa lazima amsimange.
Na baadhi ya wasomi kwa kujua kuwa wanafanya mambo ya hovyo, hawajitokezi kumjibu Msukuma.
 
Kila kitu ili kiende bila ya shida kina nadharia ambaxo zitakifanya kiendeshwe kisayansi. Msukuma Leo mnamshangilia mpeni mamlak makubwa hapo wizara ya fedha ili mkirudi hapa tuongee lugha moja
Huyo msomi wenu manake hakuna kitu? Umekubali
 
Back
Top Bottom