Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Kasheku yuko sawa wasomi wanchi hii wengi wao ni wajinga wachumia tumbo
 
Swali lako lina majibu, anawadharau wasomi kwa kuwa wameshindwa kujibu hoja na kutatua matatizo ya yaliyopo kwenye jamii.
 
Msukuma anaponda elimu ya kibongo ila hapondi unachokiandika maana vyote hivo havijatengenezwa na elimu hii ya kukariri matundu ya panzi.

ni ukweli ulio uchi elimu ya kibongo ni ya hovyo sana, hawa tunaowaita wasomi ndo wametufikisha hapa kama taifa kwa zaidi ya miaka 50. Msomi wa kibongo hana uelewa wowte na hawezi kubuni chochote zaidi zaidi kukariri tu yale madude ya kwenye karatasi.. hii elimu yetu imelisadia nn taifa hili?

Namuunga mkono msukuma kwasababu yeye hajasoma lkn ni tajiri,je ww msomi una nini cha maana zaidi ya kende?

nakubaliana na wewe shida iliyopo kwenye elimu ya kibongo na wote kwa pamoja tunapaswa kupigana kuhakikisha mapinduzi makubwa kwenye elimu.

Watu wengi wakisoma na kutumia elimu vizuri wanaweza kuleta mabadiriko makubwa na ya haraka kuliko watu wengi wasiosoma.

Msukuma kama MP tulitegemea kuona anapambana na serikali kuhakikisha inaboresha mifumo ya elimu na si kuwakebehi wasomi ambao ni matokeo ya elimu mbovu wanayopata mashuleni.

Ukimsikiliza Msukuma ni kama anaiambia jamii elimu haina umuhimu ndio maana yeye kafanikiwa kitu ambacho si kweli, maana akiumwa anakwenda hospitali na kutibiwa na madaktari waliosoma, anatumia gari ambayo ikiharibika anapelekea garage hao hao waliosoma wanaitengeneza...nk nk
 
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Mimi ni miongoni mwa wanaomuelewa Kasheku,si kweli kwamba wagunduzi wa mambo mengi ya kisayansi ni wasomi.
Ref. mr.diesel aliyegundua dizeli injini hakuwa msomi alikulia kwenye gereji ya baba yake ndipo akafanya utundu wake.
kama msomi wa ngazi ya juu anajishusha hadi kujiita ametolewa jalalani,sasa kwanini mjasiliamali aliyepambana hadi kumiliki helkopta kwanini asiwadharau watu kama hao?

Kuitwa msomi si kwenda shule,tuliopo uraiani tunajali unaifanyia nini elimu yako kuisaidia jamii inayokuzunguka.
 
Sababu kwenye jimbo lake yeye ndiye msomi kushinda wote wa darasa la 7!
 
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Ni kosa kumdharahu (NILIOKOTWA JALALANI)?
Au unazungumzia wasomi gani?
 
Kwa hiyo watoto wasipelekwe shule. Hii miundombinu imejengwa na nani? Na tunguli?
Uamuzi ni wako....kupanga ni kuchagua....kesho ya watoto wetu wa kitanzania ipo mikononi mwetu.... Hatuwezi kutatua matatizo ya karne ya 21+ kwa kutumia elimu ya karne ya 19- .
leo hata mtu ukiugua unawaza kuwa huyu mtu anayekutibu anajua anachofanya kweli, ukienda kwenye engineer ndio kabisa unaona kubahatisha kwingi, kwenye siasa ndio kabisa mvurugano, waalimu ndio kichekesho, polisi siwezi kusema yaani kila sehemu ni mtifuano...taifa linakuwa la hovyo sana..
 
Wanamdekeza, ajitokeze msomi mmoja amjibu aache kudharau wasomi, la sivyo apigwe pin, amezidi sana kudharau wasomi wakati yuko bungeni kwa kazi zinazofanywa na wasomi
Msomi yupi huyo atoke .....nasi tutamjibu....kusoma sio kukariri au kukaa miaka mingi huko darasani na kupewa hayo mavyeti ....mie yapo hapa ndani na sioni nikiyatumia popote maana niliyoyakariri sioni yakinisaidia popote na nimeamua kutumia ile asili kuyaendesha maisha huku nikijiendeleleza kwa elimu halisi sasa....usomi usomi....usomi sio kujitapa mie nimesoma au mie ni msomi....tatua matatizo yaliyopo kwenye jamii yako utaheshimika tu....kwanza heshima huwa inajileta yenyewe kwa kupitia matendo yako sio kujitutumua na kujigamba usomi usiokuwa na tija
 
kwa hiyo hawa maprofesa na madokta wasomi ni hopeless?
 
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Aawafanyia counter attack na ili kuhakikisha badala ya kuendelea kumdharau, wabaki kwenye kujitetea na kujieleza badala ya kushambulia kama walivyozoea
 
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Wasomi ni takataka tupu
 
Kisaikologia inaitwa "difence mechanisms" ionekane nae yumo. Ila kipaji cha kuongea anacho, angeenda shule mambo yangekuwa mazuri zaidi.
 
Bungeni anaongea. Anadharau wasomi. Wasomi waliopo Bungeni wanashindwa kumjibu, tena anawatisha.

Anasahau kuwa akiugua anatibiwa na wasomi, magari yake yote yametengenezwa na wasomi, SGR inajengwa na wasomi ndio maana mabehewa yatembea kwenye reli bila kuanguka, umeme unasambazwa na wasomi, bararaba zinajengwa na wasomi.

Na kadhalika na kadhalika. Kila kitu cha kusomi kina taratibu zake. Anataka zisifuatwe.

Wasomi walioko Bungeni wanashindwa kumwambia haya.

Anataka nchi iendeshwe kwa matamko na mitulinga. Hata hiyo mitulinga inahitaji wasomi kuitekeleza.

Bwawa la Nyerere, pamoja na kutolewa maoni kuwa litaathiri mazingira. Waliotoa maoni yale hawakusema lisijengwe.

Yalikuwa maoni ya kisomi. Linajengwa na wasomi. MSUKUMA anataka nini?

Anasema yeye darasa la 7 lakini katamani usomi mpaka amenunua PHD.
Kosa si lake ni wasomi wenyewe kudhalilisha elimu zao km MTU mzima profesa anaheshimika amekubali kudhalilishwa na kusema ametolewa mavumbini na kumuona mtu ni bora kuliko mungu ona wanaishia kusifia tu kwa nini wasitukanwe
 
Wabunge wote wangekuwa ni level ya Msukuma, ni fujo tu ila kwa kuwa kuna wasomi, wanapuuzia tu kisomi. "Silence is a good reply to the fool"
 
Back
Top Bottom