ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 262
- 115
Kwa kiwango Fulani Msukum Yuko sahihi ingawa sio kwa asilimia 100.
Kwa muktadha wa mfumo wa elimu yeti, Msukuma yuko sahihi kwa kuangalia jinsi Wahitimu wetu wanavyoweza kuitumia elimu wanayoipata mashueni na vyuoni wanapohitimu.
Lakini ni kweli pia kwamba elimu ni mhimu kwa maendeleo ya mtu na taifa kwa ujumla.
Kuna baadhi ya Gani zinadhihirisha ukweli huu.
Lakini pia kuna baadhi ya fani za elimu yeti zinadhihirisha,kwa kiwango kikubwa,ukweli wa kauli za Mukuma.
Fani kama Udaktari,Sheria,Uhandisi n.k zinaonekana kulleta manufaa makubwa kwa mhitimu na taifa kwa ujumla.
Angalau daktari anaweza kuwa ameajiriwa lakini akawa ana ka zahanati lake binafsi.
Hali kadhalika mwanasheria na mhandisi wanaweza kuwa na kampuni zao na tunawaona anafanya vizuri.
Lakini ni aghalabu kuona mhitimu wa Biashara na uchumi akiwa na japo kiosk Cha kuuza nyanya na akafanikiwa.
Pia si ajabu kuona bwana Shamba Hana hata bustani ya mchicha unaostawi vizuri!
Na hapa ndipo hoja za Msukuma zinapokuwa na mashiko.
Tukumbuke kuwa,ni hawahawa wasomi wetu wasiokiwa na viosk Wala bustani watutengenezee sera na Sheria za Kodi na taratibu zote za kilimo Bora.
Unategemea nini kitatokea?
Matokeo yake ni kupata mifumo ya Kodi ambayo haimjengi mfanya Biashara Ili akue, na badala yake inamfanya aanguke na kufa kibiashara.
Kwa akili ya kawaida kama ya Msukuma,wigo wa walipa Kodi kwa mfano,hauongezwi kwa serlkali kuwaongezea Kodi na kuwadai malimbikizo ya Kodi ya miaka 10 wafanya Biashara, Bali wigo wa Kodi unajiongeza wenyewe kwa serikali kuweka mazingira mazuri ya kumwezesha mfanya Biashara kukuza Biashara yake.
Vivyo hivyo,sera na mipango mizuri ya serikali ndiyo inayowrza kufanya mkulima apanue kilimo chake na si vinginevyo.
Lakini he, ni nani serikali I wanaotengenezs hizi sera na Sheria wezeshi za haya Yote? Jibu ni hao hao.wasomi anaowazungumxia Msukuma wa watu.
Waliosoma Cuba wanamuelewa Msukuma.