MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,643
- 42,649
Muombolezaji wa kweli ni ngumu kuanza kupost mtandaoni wakati ana machungu.
kipi muhimu sasa hapo?Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Utakuwa una mapungufu ya kibailojia. Siyo bure. Mtu mzima na akili yako huwezi ukaandika huu ujinga.Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Kwasababu sisi tunaeishi nae hapa jirani Majengo Mapya, Nyegezi, Jijini Mwanza tunajua KAMTOA KAFARA!Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Wewe ulitoa pole kwenye kifo cha hayati Mama yako?Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake
Mkuu ujinga ni tatizo kubwa sana kwa watozonia, ukitaka kuamini njoo uishi uswahili, watu ni wajinga sana😬CCM NI WAPUMBAVU SANA LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUSABABISHA MAUAJI NI......
1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.
2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK
3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.
4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.
5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.
6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.
7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari
Kuzuia mitandao ya kijamii.
Kuzima Mtandao nk
CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA
AMKENI WATANGANYIKA.
We FambaKwasababu sisi tunaeishi nae hapa jirani Majengo Mapya, Nyegezi, Jijini Mwanza tunajua KAMTOA KAFARA!
Usihofu atakuja kutoa pole kwenye msiba utakapo kufa.Nimepitia account zake zote za social media, nimepitia taarifa zote, sijaona andiko la Heche la kutoa pole kwa familia ya dereva wake