Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,823
Wapi Katya-Irina na Nshimimana a.k.a. Dumisane?
asee u have been warned.....Id speculashon......
Asee on a serious note, this dude ameendaga wapi.....?
Wapi Katya-Irina na Nshimimana a.k.a. Dumisane?
orait orait better you know the boundaries honey.....:A S-rose:
That is why there are those telling words in the (mabano) dearest ...
can't do anything without your permission...
And please do the needful Kimey says you are to remind him...
hahaha hommie hapo kwenye RED hebu edit kidogo lol!Hommie itakuwa walikuingiza wneyewe? Siwezi kuamini
habari yako bana....
Lini sasa kule?
Hommie wa ukweli toka lini tukavunja sheria number 3?orait orait better you know the boundaries honey.....:A S-rose:
Asha D, worry not am not biting!That is why there are those telling words in the (mabano) dearest ...
can't do anything without your permission...
And please do the needful Kimey says you are to remind him...
nitamwambia kuwa bado unam mind!Alipofariki Chacha Wangwe(RIP) kwa ajali ya gari kule Dodoma mnamo mwaka 2008, tulikuwa tunaongelea issue hii na by then mpenzi wangu.
Basi akaniambia ingia www.jamiiforums.com , huko wanaongelea habari za nyumbani na yote yanayojiri kila kukicha mana alijua napenda sana kusoma magazeti na kufuatilia matukio ya kila siku ndani ya nchi yangu.
Basi nikaingia JF kuanza kusoma soma habari kila kukicha na hatimaye siku moja nikajiunga na kuendelea kuwa mwanafamilia wa JamiiForums.
Naifahamu ID ya X-mpz mana yupo active mpaka sasa ila yeye hanijui na sikutaka ajue nipo hapa basi tu bila sababu ya msingi..huwa nikimsoma sometimes nacheka kutokana na anavyo-comment!
In short, JF is such a cool place!!!
Here we go now hommie, your my brother and always will do!hahaha...Kimey is my hommie.....and am his elder brother...so he MUST behave...have already reminded him of he doesnt remember...
hahaha hommie hapo kwenye RED hebu edit kidogo lol!
Hommie wa ukweli toka lini tukavunja sheria number 3?
Asha D, worry not am not biting!
You are welcome!I know you are not... if my sweetie says so it means so...
enways thank you for assuring me...
An honest logical opinion
Thank you for sharing..
choka mbayaBishanga wa afya ... wewe je?
Binafc ma lvl brazae ndo alnfany njiunge,una akil we cs bs 2