Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

Kwanini jezi namba 9 huwa haivaliwi Simba?

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,556
Reaction score
4,071
Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
 
Kanoute na sacko ilikua lazima wafunge jana! Maana kila mmoja first half aligongesha nguzo! Kanoute kwakichwa aligongesha nguzo kama ilivyo sacko kwa guu lakulia alilofungia goli vile vile guu hilolo lilifyatua kommmbbooora lililomtesa keeper goal wa azam bahat yake likagonga besela! Dah!
 
Ile nguzo ya Sakho imezama basi jana nisingerudi home mpaka j3
 
wanasema eti sadio kanoute alinufaika na unene wa goli kipa
😬😬😬 Wachezaji wa Azam bure kabisa! Yaani wamenenepeana, ni wazito kwenye kukimbia, kuruka juu na kukaba!! Shenzi kabisa wale! Sijui wanalishwa nini na Bakhresa!

Magoli yote mawili waliyofungwa yalikuwa ni ya kizembe ukilinganisha na goli lao la kufutia machozi.
 
Wachezaji wa Azam bure kabisa! Yaani wamenenepeana, ni wazito kwenye kukimbia, kuruka juu na kukaba!! Shenzi kabisa wale! Sijui wanalishwa nini na Bakhresa!

Magoli yote mawili waliyofungwa yalikuwa ni ya kizembe ukilinganisha na goli lao la kufutia machozi.
Wee acha uongo wako, magoli yote jana ni bora.
 
sasa kuna ugomvi gana hapa? Kukukanusha kuhusu magoli ya jana ndo tatzo?
Nwei nisamehe km nimekukwaza, relaaaax
Nakutania tu my dearest! Wewe ni wa kugombana na mtu? Jambo hilo kamwe haliwezi kutokea.
 
Back
Top Bottom