GE2025 Kwanini Jakaya Kikwete analaumiwa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
886
Reaction score
664
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,

Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo yanaharibika akakaa kimya, na sitegemei kwamba anaweza kuwa chanzo cha Mambo yaharibike.

Sasa basi kama lawama na kelele hasi zinazidi si wakati muafaka akae kando apumzike afurahie kustaafu kwake badala ya kubeti sintofahamu ya kesho. Ni wazo tu naomba nisihukumiwe.
 
Huyu anabeba lawama zote mshenzi kabisa kwanza kakwamisha mchakatobwankatiba mpya bila sababu ili kulinda wezi wenzie, pili alimuhujumu sana magufuli ana muongoza samia kama mtoto , huyu mzee akifa nchi itakuwa salama sana
 
Wakati Nyerere alipoondoa majina ya 'wahuni' (akiwemo kikwete) wasipitishwe kugombea urais 95 ulikuwa hujazaliwa?

Au unadhani huu msamiati wa 'wahuni' umeasisiwa na Polepole?

Hahahaaaaaa hakuna kiongozi wa hovyo na mhuni aliyewahi kuongoza nchi zaidi ya kikwete.

Wewe bado hujakua so huwezi mwelewa huyu mhuni na uhuni wake.
 
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,

Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo yanaharibika akakaa kimya, na sitegemei kwamba anaweza kuwa chanzo cha Mambo yaharibike.

Sasa basi kama lawama na kelele hasi zinazidi si wakati muafaka akae kando apumzike afurahie kustaafu kwake badala ya kubeti sintofahamu ya kesho. Ni wazo tu naomba nisihukumiwe.
Wanaolalamiķa ni wenye hila, wanamwona JK ni kikwazo ktk kutimiza malengo yao ya kihalifu
 
Huyu anabeba lawama zote mshenzi kabisa kwanza kakwamisha mchakatobwankatiba mpya bila sababu ili kulinda wezi wenzie, pili alimuhujumu sana magufuli ana muongoza samia kama mtoto , huyu mzee akifa nchi itakuwa salama sana
Utatangulia we mbwa koko usiye na alama yyte ktk nchi hii
 
Wakati Nyerere alipoondoa majina ya 'wahuni' (akiwemo kikwete) wasipitishwe kugombea urais 95 ulikuwa hujazaliwa?

Au unadhani huu msamiati wa 'wahuni' katika umeasisiwa na Polepole?

Hahahaaaaaa hakuna kiongozi wa hovyo na mhuni aliyewahi kuongoza nchi zaidi ya kikwete.

Wewe bado hujakua so huwezi mwelewa huyu mhuni na uhuni wake.
We mbwa mhuni ni mamako hajui ht babako ni nani. JK ameifanyia mambo makubwa sana nchi hii. We bwege nì afadhali ya mbwa.
 
Hata hii Jf inarun kwa kisima kilichoanzia kwake

Shida ni kwamba anajisahaulisha kwamba binadamu anaweza kuzaa tumbili
 
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,

Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo yanaharibika akakaa kimya, na sitegemei kwamba anaweza kuwa chanzo cha Mambo yaharibike.

Sasa basi kama lawama na kelele hasi zinazidi si wakati muafaka akae kando apumzike afurahie kustaafu kwake badala ya kubeti sintofahamu ya kesho. Ni wazo tu naomba nisihukumiwe.
Ndio katufikisha hapa, ndiye chanzo cha yotee, ndiye aliyetuletea huyu Rais, kwanza anatakiwa akae kwa kutulia kipindi cha Maguful alikuwa haongei chochote lakini sasa hv kwenye mikutano yeye ndio msemaji Mkuu sio huyo Rais wenu. Ninaendelea kuamini kwamba uongozi wa mwanamke yeyote kuna mwanaume ndiye anaemuongoza.

Eeh Mungu naomba Mapenzi yako yafanyike mapema. Amina
 
Je, unajua ni kwa nini hasa wakati wa Utawala wa John Magufuli Bw. Jakaya Kikwete alikuwa yupo kimya Sana na muda wote kabisa alionekana kuwa ni Mtu ambaye alikuwa hana furaha kabisa moyoni mwake? Unazijua sababu???

Kikwete alikuja kuibuka tena ghafla akionekana ni mtu mchangamfu na mwenye furaha mara tu baada ya kufa kwa Rais John Magufuli, unajua ni kwa sababu gani?

Ni Ukweli usiopingika kwamba marehemu JPM kweli kabisa alikuwa ana mabaya yake, lakini pia ni kweli kabisa kwamba enzi za uhai wake Rais Magufuli alikuwa anasikika Mara kwa mara akisema kwamba "waTanzania mniombee, kuna Watu wanaona kwamba Mimi ninakwamisha mambo yao."
 
Bahati mbaya huko CCM wote wabwekaji tu hakuna mwenye uwezo wakumkabili huyo mzee. Mbaya zaidi Mzee mwenyewe ni mwamba kwelikweli, he don't deal with novices.

kwaheri Rostov, Safarin Khost - Afghanistan.
 
Ndio katufikisha hapa, ndiye chanzo cha yotee, ndiye aliyetuletea huyu Rais, kwanza anatakiwa akae kwa kutulia kipindi cha Maguful alikuwa haongei chochote lakini sasa hv kwenye mikutano yeye ndio msemaji Mkuu sio huyo Rais wenu. Ninaendelea kuamini kwamba uongozi wa mwanamke yeyote kuna mwanaume ndiye anaemuongoza.

Eeh Mungu naomba Mapenzi yako yafanyike mapema. Amina
"Ndiye katufikisha hapa" Kama ndivyo heko kwake; nimebahatika kuishi na kuwaona maRais wote wa Mchi yetu mpaka sasa, Nyerere hatumlaumu kwa kuifungia Nchi kwenye umaskini, Mwinyi hatumlaumu kwa ruksa ya watu kujitafuta, Mkapa halaumiwi kwa kuuza makusanyo ya Taifa, John halaumiwi kwa kuunda utekaji na utesaji japo kuna mengi mazuri ya kukumbukwa, mbona awe Kikwete tu?
 
Back
Top Bottom