Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

Status
Not open for further replies.
wengi wao hawamwamini, na hata wanaomwamini hawafiki 5% ya waisraeli wote.

Yes but there is a time coming where majority of them will come to believe in HIM. It's prophesized in the bible, just take your home work to read the books of Zechariah, Ezekiel, Isaiah & Jeremiah ...

Ukisoma kitabu cha Ezekieli kinatabiri kuwa, kuna siku zinakuja ambapo Israeli itakuwa imejijenga kijeshi mataifa kadhaa yataungana kuleta vita dhidi yao. Ezekieli anaenda mbali na kusema kuwa mataifa hayo yatashirikiana na Taifa moja kubwa.

Nao watakwea na kuizunguka Israeli ... Nao watamkumbuka Yesu na kumlilia, wataukumbuka unabii huu ... Ndipo Yesu atashuka katika mlima Sayuni na kupigana na mataifa yale kwa ajili ya agano aliloweka na Ibrahimu (How? Itabaki kujulikana kwa wale watakao kuwa hai by that time).

Na baada ya hapo wengi wao watatubu & watamwamini Yesu.

Lakini hili tukio ni litatokea baada ya mpinga Kristo kufanikisha kumaliza mzozo unaohusu "HEKALU LA SULEMANI." Ambapo atatumia hekima kuwapatanisha waarabu + wayahudi, lkn baada ya tukio lile atataka asujudiwe yeye badala ya Mungu. Hii itawazindua waisraeli na kujua kosa lao, and by that tym vita itakuwa mlangoni.

Na hii ni ishara ya siku za mwisho. Anywys, nimejaribu kusummarize. Zaidi sn kajisomee mwenyewe vitabu!
 
Hivi kama wewe mmatumbi unayajuwa yote haya je wao ndio wasiyajuwe yote haya? unataka kunishawishi kwamba wewe una IQ kuwapita Ashkenazi? ndio maana vijana wa ulaya wana mashaka makubwa na hizi dini.
 
Hivi kama wewe mmatumbi unayajuwa yote haya je wao ndio wasiyajuwe yote haya? unataka kunishawishi kwamba wewe una IQ kuwapita Ashkenazi? ndio maana vijana wa ulaya wana mashaka makubwa na hizi dini.

Chosen generation, Has spoken "the MIND of GOD" these stuff has been foretold by God, the Alfa and omega, and what chosen generation has just summarized, are just the portion of Omega...very hard and critical stuff to come in the very near future, stuff that onl few people comprehend...they coming anyways like it or not, we can't force people to believe but when those days comes, most of us will comprehend then
 
Humu kuna watu hawazishughulishi akili zao Israel ni taifa linaloshambuliwa sana na magaidi kuliko yote duniani,pili Israel ni taifa lisilomtambua jesus ( yesu) na kwao yesu ni mwana wa haramu aliyezaliwa nje ya ndoa. Waisrael idadi ya watu ni 8,238,000 kati yao wa dini ya judism ( dini yao kuu) 74% islams 20% na dini zingine 6% ktk lugha rasmi 70% hebrew 24% arabic na 6% lugha zingine, ukiangalia hapo uislamu na lugha ya kiarabu ndani ya Israel unanguvu mno kuliko ukristo kwaiyo waisrael si ndugu zenu ktk imani ila munawashoboka tu wenyewe hawawajui wala hawatambui.
Umejitahidi kutililika vizuri lakini nawe umepatwa na mhemko, Wayahudi wanamtambuwa Yesu ambaye ndiye masiha na bado wanamsubili, hayo maelezo mengine ni mbwembwe tu za uandishi.
 
wakristo wenzangu nashangaa kwanini huwa tunakuwa kama nyumbu linapkuja swala la israel..

utaskia...... israel taifa la Mungu>>!!...je kuna taifa la shetani hapa duniani?

utaskia..... israel wamechaguliwa na Mungu.... kama Mungu alichagua taifa moja unadhani kwanini aliunda mataifa mengine..

utaskia... ukigusa israel unapotea!.... mbona hitler aliwaua kama milioni 6 na bado Germany inapeta...

mi naaimini israel katika Bible ni watu wote wanaomuamini Mungu maana ukinteprete Biblia kwa kurefer israel kama nchi mwisho wa siku hata zile amri 10 na kila kitu kwenye Biblia hakitakuhusu wewe wa taifa lingine maana walipewa israel
 
Yes but there is a time coming where majority of them will come to believe in HIM. It's prophesized in the bible, just take your home work to read the books of Zechariah, Ezekiel, Isaiah & Jeremiah ...

Ukisoma kitabu cha Ezekieli kinatabiri kuwa, kuna siku zinakuja ambapo Israeli itakuwa imejijenga kijeshi mataifa kadhaa yataungana kuleta vita dhidi yao. Ezekieli anaenda mbali na kusema kuwa mataifa hayo yatashirikiana na Taifa moja kubwa.

Nao watakwea na kuizunguka Israeli ... Nao watamkumbuka Yesu na kumlilia, wataukumbuka unabii huu ... Ndipo Yesu atashuka katika mlima Sayuni na kupigana na mataifa yale kwa ajili ya agano aliloweka na Ibrahimu (How? Itabaki kujulikana kwa wale watakao kuwa hai by that time).

Na baada ya hapo wengi wao watatubu & watamwamini Yesu.

Lakini hili tukio ni litatokea baada ya mpinga Kristo kufanikisha kumaliza mzozo unaohusu "HEKALU LA SULEMANI." Ambapo atatumia hekima kuwapatanisha waarabu + wayahudi, lkn baada ya tukio lile atataka asujudiwe yeye badala ya Mungu. Hii itawazindua waisraeli na kujua kosa lao, and by that tym vita itakuwa mlangoni.

Na hii ni ishara ya siku za mwisho. Anywys, nimejaribu kusummarize. Zaidi sn kajisomee mwenyewe vitabu!

kwahiyo Jesus ataisaidia israel tuu??..... kumbe watu kutoka nchi zingine wakimuomba wanajisumbua...!!
 
pamoja na ubabe wake kwa mataifa jirani,Hii nchi imezingirwa na mataifa ambayo kwa kiwango fulani yametapakaa makundi ya kigaidi lakini hatujawahi sikia imeshambuliwa.ni kwanini

Hakuna wa kuweza kuchezea Israel, kuchezea Israel ni sawa na kufungulia mzinga wa nyuki ndani ya nyumba yako, Israel maana yake kwa ufupi ni kushinda tu jina alilitoa Mungu mkuu muumba mbingu na nchi, nikisema Mungu mkuu helewa kuwa kuna miungu
 
Ujafuatilia mambo..hamas walipiga kambi ya Israel na kuua wanajeshi kadhaa wao kwa hasira zao walishambua hospatal na shule za UN..hawana lolote

Kwahiyo umekiri mwenyewe kwamba hamas ni kundi la kigaidi???
 
Wayahud kama wangekufa woote...kusingekuwa na upuuz huu wa watu kuamini et taifa la mungu.....??
Isral inachapwa sana sema hufuatilii history ...waulize wanawajua hizbu llah

Hao Hizbollah wako wapi saivi?..Isis na ubabe wao kwa israel hawakohoi..
 
Nasikia wana dini Yao Na Ni tofauti kabisa hawamtambui yesu Na wala sio wakiskristo lkn wabongo tunawaunga mkono

Kwa sababu tu walidanganywa kuwa hawaioni mbingu bila kupewa kibali na wayahudi.

Inashangaza sana, hao hao ndiyo waliomtesa 'mungu" wao, hao hao ndiyo wanawaona wa maana.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Hakuna wa kuweza kuchezea Israel, kuchezea Israel ni sawa na kufungulia mzinga wa nyuki ndani ya nyumba yako, Israel maana yake kwa ufupi ni kushinda tu jina alilitoa Mungu mkuu muumba mbingu na nchi, nikisema Mungu mkuu helewa kuwa kuna miungu

Kuwachezea israel- wayahudi...

Bila misaada ya USA unahisi israel inaweza kusurvive..!?
 
Mleta mada google usome kuhusu George Habash, Carlos Ilich Ramirez Sanchez.
 
Isreal haivamivi kwasababu wenyewe ni magaidi makubwa duniani,ukisikia ISIS,ALQAEDA,MUSAD na mengineyo mengi ni makundi yaliyoundwa na Israel,matatizo yote duniani ni israel ambao misaada yao zote zinatoka USA,lakini ipo siku yao pia,magaidi hao wanauwa wapalestina kila siku lakini unakuta UN haiwezi kuwatia mbaroni sababu waliyoiunda UN ni wao wenyewe
 
hakuna cha taifa la Mungu wala nn...izoo strategies zimetengenezwa na mataifa ya US na ulaya....na Kama islael inatajwa na watu only kuwa ni taifa la Mungu bila ata uthibitisho wa Mungu mwenyewe.basi hakika uyo Mungu hayupo....uyo mungu aliyepo atakua ametengenezwa na wa islael
 
Nani kakudanganya inaonekana wewe ni wa juzi unaikumbuka Black September??

unaikumbuka ile saga ya Munich Massacre??
 
Kwani hukusikia Palestinians knives attacks, car ramming and stoning? Kama unatarajia kuyasikia hayo CNN sahau. Ukitaka kujua tafiti.

As of Syrian crisis Israel maintain a neutral stance. Isis walishasema wakimaliza Syria wanakwenda Jerusalem.

Fanya utafiti wako punguza uvivu 🙂

Ni maskio na macho yangu vimenidanganya au mbona ISIS washatoa tamko next stop is Britain, na David Cameron kashaitisha cobra meeting
 
Let me clarify issue of Christianity and Israel:

historia kubwa ya biblia ni ya falme za Israeli. Daudi ndio alikuwa mfalme bora kuliko wafalme wote wa Israeli.

Pamoja na kwamba Wayahudi (Wa Israeli) walimuua Yesu, ukweli ni kwamba kama Wakristo bado tunawaona Wana Israeli kama taifa la Mungu.

Na kwenye Biblia kuna maandiko yanasema hivyo kabisa.

Biblia pia inasema, Nabii hatakiwi kwao, baadhi ya wayahudi hawampendi Yesu kwasababu waliona anajikweza wakati wanamjua tangu mtoto na alikulia mtaani.

Ila hilo halibadilishi mtazamo wa Israeli kama taifa la Mungu (hii ni IMANI DHABITI ya Wakristo dunia kote)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom