Humu kuna watu hawazishughulishi akili zao Israel ni taifa linaloshambuliwa sana na magaidi kuliko yote duniani,pili Israel ni taifa lisilomtambua jesus ( yesu) na kwao yesu ni mwana wa haramu aliyezaliwa nje ya ndoa. Waisrael idadi ya watu ni 8,238,000 kati yao wa dini ya judism ( dini yao kuu) 74% islams 20% na dini zingine 6% ktk lugha rasmi 70% hebrew 24% arabic na 6% lugha zingine, ukiangalia hapo uislamu na lugha ya kiarabu ndani ya Israel unanguvu mno kuliko ukristo kwaiyo waisrael si ndugu zenu ktk imani ila munawashoboka tu wenyewe hawawajui wala hawatambui.