Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

Status
Not open for further replies.
Kuwachezea israel- wayahudi...

Bila misaada ya USA unahisi israel inaweza kusurvive..!?

Israel ina jeshi dogo lakini katika ubora wa majeshi dunia ipo kumi bora inaweza Bila msaada wa marekani
 
Ndani ya vikundi vya Ugaidi kuna bijana wengi wayahudi.Kazi yao kuu ni kupata taarifa za inteligencia.Na kushauri viongozi.
pia huwa wana programs za muda mrefu sana.
2.Hawa jamaa wapo kila mahala had I Congo DRC wapo
 
Kwann hao MAQAFIRI wengine wanashambuliwa ikiwa wao ndio wanawasaidia israel
 
Humu kuna watu hawazishughulishi akili zao Israel ni taifa linaloshambuliwa sana na magaidi kuliko yote duniani,pili Israel ni taifa lisilomtambua jesus ( yesu) na kwao yesu ni mwana wa haramu aliyezaliwa nje ya ndoa. Waisrael idadi ya watu ni 8,238,000 kati yao wa dini ya judism ( dini yao kuu) 74% islams 20% na dini zingine 6% ktk lugha rasmi 70% hebrew 24% arabic na 6% lugha zingine, ukiangalia hapo uislamu na lugha ya kiarabu ndani ya Israel unanguvu mno kuliko ukristo kwaiyo waisrael si ndugu zenu ktk imani ila munawashoboka tu wenyewe hawawajui wala hawatambui.

Haaaa ndio hivyo Yesu ni mtoto wa Nje ya ndoa?
 
israeli imezungukwa na maadui tu. Afadhali kidogo ni Egypt, ila jirani zake wote wanataka wafe.

Siri ni kwamba has best intelligence duniani, na vijana wake tangu shule wanafundishwa kujihami kwasababu wanajua kila jirani hawatakii mema.

Na pia US, kama world super power wanatambua Israeli ni taifa la Mungu na wanawapa vifaa vya kisasa kabisa kuwasaidia kuishi na 'majirani'

Hata hivyo bado wapalestina huwa wanapenyeza na kujitoa muhanga ma hii utokea mara kwa mara ila haitanhazwi sana labda siku ambazo hakuna habari kubwa ndio utasikia bomu au mtu kajilipua israeli.

Kwa hiyo mataifa mengine ni ya Shetani?
 
Let me clarify issue of Christianity and Israel:

historia kubwa ya biblia ni ya falme za Israeli. Daudi ndio alikuwa mfalme bora kuliko wafalme wote wa Israeli.

Pamoja na kwamba Wayahudi (Wa Israeli) walimuua Yesu, ukweli ni kwamba kama Wakristo bado tunawaona Wana Israeli kama taifa la Mungu.

Na kwenye Biblia kuna maandiko yanasema hivyo kabisa.

Biblia pia inasema, Nabii hatakiwi kwao, baadhi ya wayahudi hawampendi Yesu kwasababu waliona anajikweza wakati wanamjua tangu mtoto na alikulia mtaani.

Ila hilo halibadilishi mtazamo wa Israeli kama taifa la Mungu (hii ni IMANI DHABITI ya Wakristo dunia kote)

Ubarikiwe mpendwa. Na Mimi naunga Mkono kulibariki Taifa la Israeli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom