Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

Kwanini ISRAEL haishambuliwi na magaidi?

Status
Not open for further replies.

gimanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
1,910
Reaction score
1,982
pamoja na ubabe wake kwa mataifa jirani,Hii nchi imezingirwa na mataifa ambayo kwa kiwango fulani yametapakaa makundi ya kigaidi lakini hatujawahi sikia imeshambuliwa.ni kwanini
 
God at work....! Kila got lazima litapigwa kwa JESUS...! Waarabu wamepigwa upofu hawaioni Israel iko wapi...
 
bigmind watu mnaoamini katika dini mnatabu sana, siamini katika dini yoyote duniani.
 
Last edited by a moderator:
pamoja na ubabe wake kwa mataifa jirani,Hii nchi imezingirwa na mataifa ambayo kwa kiwango fulani yametapakaa makundi ya kigaidi lakini hatujawahi sikia imeshambuliwa.ni kwanini

israeli imezungukwa na maadui tu. Afadhali kidogo ni Egypt, ila jirani zake wote wanataka wafe.

Siri ni kwamba has best intelligence duniani, na vijana wake tangu shule wanafundishwa kujihami kwasababu wanajua kila jirani hawatakii mema.

Na pia US, kama world super power wanatambua Israeli ni taifa la Mungu na wanawapa vifaa vya kisasa kabisa kuwasaidia kuishi na 'majirani'

Hata hivyo bado wapalestina huwa wanapenyeza na kujitoa muhanga ma hii utokea mara kwa mara ila haitanhazwi sana labda siku ambazo hakuna habari kubwa ndio utasikia bomu au mtu kajilipua israeli.
 
bigmind watu mnaoamini katika dini mnatabu sana, siamini katika dini yoyote duniani.

Mkuu tatizo sio dini ila ni akili za watu tu,kuna watu wanauwana kisa ukabila,siasa,ubaguzi wa rangi na mengine mengi tu. kwahiyo kuna watu wanafanya uhalifu kupitia hayo mambo.
 
Last edited by a moderator:
Ujafuatilia mambo..hamas walipiga kambi ya Israel na kuua wanajeshi kadhaa wao kwa hasira zao walishambua hospatal na shule za UN..hawana lolote
 
Ukisoma Bible agano la kale eneo anapoelezwa Ibrahim na wana wa Ibrahim,utaona jinsi Isihaka baba wa Wa Israel aliyohaidiwa na Mungu na Ishmael Baba wa waarabu aliyohaidiwa na Mungu.Kwa sasa picha ni ile ile.
 
Wayahud kama wangekufa woote...kusingekuwa na upuuz huu wa watu kuamini et taifa la mungu.....??
Isral inachapwa sana sema hufuatilii history ...waulize wanawajua hizbu llah
 
Walishajijengea maukuta ya hatari baada ya hamasi kuwaripua sana miaka ya tisini kuja elfu mbili mwanzoni,hata hivyo matukio yanatokea daily kule ingawa sio kwa scale makubwa
 
Ujafuatilia mambo..hamas walipiga kambi ya Israel na kuua wanajeshi kadhaa wao kwa hasira zao walishambua hospatal na shule za UN..hawana lolote

Rudia kusoma ulichokiandika...ukielewa niambie umeelewa nn
 
pamoja na ubabe wake kwa mataifa jirani,Hii nchi imezingirwa na mataifa ambayo kwa kiwango fulani yametapakaa makundi ya kigaidi lakini hatujawahi sikia imeshambuliwa.ni kwanini

Mi ni mtanzania mwenye asiri ya Israel....watu hawatuwezi kwa sababu asirimia kubwa ya watu duniani wanatupenda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom