Kwanini Isaka pekee aliagizwa na Ibrahimu asioe Binti wa Kanani?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboniInafahamika wazi Ibrahimu baba yetu wa Imani alikuwa na Watoto kadhaa akitangulia Ishmael aliyekuwa mkubwa Isaka na Watoto wengine aliozaa na Ketura mke aliyemuoa baada ya kufiwa na Sara ambao ni Zimrani, na Yokshani, na Medani, na Midiani, na Ishbaki, na Sua

Nimepitia maandiko na kuona ni mtoto mmoja tu Isaka aliyepewa maagizo na Ibrahimu ya kutokuoa Mabinti wa Kanani na badala yake aende kuoa kwenye nchi aliyotoka Ibrahi

Wasomi wa maandiko kwanini Ibrahimu hakutoa mwongozo huo kwa Watoto wake wote aliowapend

Karibuni tujadi

Niwatakie usiku mwem

MWANZO 24: 2

Ibrahimu akamwambia mtumishi wake, mzee wa nyumba yake, aliyetawala vitu vyake vyote, Tafadhali uutie mkono wako chini ya paja langu

Nami nitakuapisha kwa Bwana, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao

Bali enenda hata nchi yangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu Isaka mke.; , -4a lia?mu.
 
Watakuja
 
Isaka alizaliwa kwa kusudi maalumu, kumbuka ni mtoto wa ahadi toka kwa Mungu tofauti na ndugu zake wengine akina Ishimail.

Kwa hoja hiyo, ililazimu dira ya hatma ya kila kitu cha Isaka itoke kwa Mungu ili kulitimiza kusudi na agano la Mungu juu ya Ibrahimu kupitia mtoto wa ahadi Isaka.

Watu wote waliozaliwa kwa kusudi maalumu la KIMUNGU hawakuwa na mfumo wa maisha unaofanana na sisi wengine tangu mimba/kuzaliwa kwao, mfano ni Samsoni, Samwel, Yohana mbatizaji, Yesu n.k.

Uzalendo wa Kitanzania
 
Back
Top Bottom